[emoji16][emoji16][emoji16] elimu yenyewe bongo wizi tu mkuu unaweza kujivunia msomi yupi bongo? Janjajanja na utapeli mwingi.Ngazi ya Kiwango cha kutoa ujinga. Lakini naona ujinga hautaki kuniacha. Elimu haina mwisho. Teh-teh.
Mkuu Darren 2019; mm nimejaribu tu kujibu/kufanya/ku-solve hesabu alilotoa ziltan wala sikuwa na lengo la kumkera au kumuudhi mtu. Watu wa Bongo wenye Elimu nina amini wapo lakini pia wajanja na matapeli hawakosekani. Ni ww tu kuchambua yupi ni yupi na sio blanket statement kuwahukumu wote. Asante Mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16] elimu yenyewe bongo wizi tu mkuu unaweza kujivunia msomi yupi bongo? Janjajanja na utapeli mwingi.
Umentafsiri vibaya mkuu, sikuwa na lengo baya.Mkuu Darren 2019; mm nimejaribu tu kujibu/kufanya/ku-solve hesabu alilotoa ziltan wala sikuwa na lengo la kumkera au kumuudhi mtu. Watu wa Bongo wenye Elimu nina amini wapo lakini pia wajanja na matapeli hawakosekani. Ni ww tu kuchambua yupi ni yupi na sio blanket statement kuwahukumu wote. Asante Mkuu.
Nimekupata Mkuu. Ss Tuendelee. Niko poa kabisa.Umentafsiri vibaya mkuu, sikuwa na lengo baya.
Afadhali yako wewe uliyeshiriki angalau, kwani kuna mada ngapi humu za maana watu huzipita tu au kukejeli?
Mimi nlimaanisha hata km hukusolve sahihi usikonde bora umechangia, tunao wasomi nguli tu ambao usomi wao hauna tija kwa jamii maana hawasaidii lolote zaidi ya kuibia nchi tu, najua mifano unayo.
Sikukutuhumu, walimu wenyewe ni tatizo jingine, kipindi kizima stori tupu.