Naomba msaada wa kuandaa menu za hoteli

Naomba msaada wa kuandaa menu za hoteli

House Boy

Senior Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
103
Reaction score
91
Naomba msaada kwa anaejua kuandaa menu za chakula kwa lugha ya kichina na kirusi
 
Naweza kukusaidia kwa lugha ya Kirusi!
Nipe menu yako kwa Kiingereza,kisha nikuandikie kwa kirusi.
Maana nikikuandikia direct menu ya Kirusi kama nipo Urusi sina hakika kama vyakula vyote kwenye menu vinapatikana hapa Tz.
Kwani ww upo wapi mkuu?
Endapo utapenda,njoo na budget yako ya kazi hii!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom