Msaada ku upgrade samsung note 5

Drizzy2

Senior Member
Jun 8, 2012
152
105
Habari zanu Wana technology naomba Kujua kama jambo hili linawezekana ni kwamba nataka ku upgrade samsung note 5 kutoka android video 6.0.1 mashlow kuwa 7.0 nougat model ya simu ni GALAXY NOTE 5 SM-N920F made in Vietnam
 
Hapa cha kufanya ni kuinstall kwa kutumia sammobile kupakua firmware inayoendana na simu yako

Firmware download for Galaxy Note5 SM-N920C

Au kama sammobile inasumbua jaribu hapa Model : SM-N920C - Galaxy Note 5 — Samsung-Firmware.org

Ukiona firmware inayoendana na simu yako (angalia firmware ya sasa ni ya Nchi gani na download hiyo hiyo firmware ya 7.0)

Hapo hapo utaona instructions za kutumia Odin kuflash firmware yako mpya kwenye simu yako kwa kutumia computer.

Lakini kama kweli ni N920F basi hii haina firmware updates na sikushauri utumia hizo firmware za hapo juu, maana inaweza leta matatizo.
 
Hamna kinachoendelea Hata Niki place software update nothing hapen
unajua kuingia download mode? siku hizi kuna case simu inaandika inaishiwa na F kama international version halafu kumbe sio, ni model nyengine.

zima simu kisha bonyeza cha kuwashia, home button na cha kupunguzia sauti kwa pamoja ili kuingia download mode

Enter%2BDownload%2BMode%2BSamsung%2BGalaxy%2BNote%2B5.png

ukiwa kwenye download mode itakuonesha model yako halisi.
 
Asante mkuu nimeona nikweli model ya ndani ni tofauti ya kwenye about phone inaishia F lakini ya ndani inaishia V naendelea na process za kuinstall nitakupa mrejesho Asante sanaaa
 
Hapa cha kufanya ni kuinstall kwa kutumia sammobile kupakua firmware inayoendana na simu yako

Firmware download for Galaxy Note5 SM-N920C

Au kama sammobile inasumbua jaribu hapa Model : SM-N920C - Galaxy Note 5 — Samsung-Firmware.org

Ukiona firmware inayoendana na simu yako (angalia firmware ya sasa ni ya Nchi gani na download hiyo hiyo firmware ya 7.0)

Hapo hapo utaona instructions za kutumia Odin kuflash firmware yako mpya kwenye simu yako kwa kutumia computer.

Lakini kama kweli ni N920F basi hii haina firmware updates na sikushauri utumia hizo firmware za hapo juu, maana inaweza leta matatizo.
Asante mkuu
 
Asante mkuu nimeona nikweli model ya ndani ni tofauti ya kwenye about phone inaishia F lakini ya ndani inaishia V naendelea na process za kuinstall nitakupa mrejesho Asante sanaaa
usiinstall kitu we toka tu, hio ndio model yako halisi. siku ukiamua kuja kuflash android 7 au 8 utahitaji file hilo la v
 
Back
Top Bottom