Naomba Msaada wa ku-unlock Huawei 530

Naomba Msaada wa ku-unlock Huawei 530

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
5,417
Reaction score
8,047
Nimenunua huawei Asend 530 lakini inatumia line za tigo tu na tigo inasumbua sana kwenye intenert, naomba km kuna mwenye ujuzi wa kuifangya itumie line zote.
 
Kuna mshikaji humu anafanya hiyo kitu kama sio CHIEF MKWAWA jaribu kumcheck atakusaidia bila kwenda kuzunguka huko kwa fundi bei utaongea nae
 
Last edited by a moderator:
Msubili mwl r.c.t aje atakusaidia usidanganye nafundi kuwa ataflash vinginevyo itakufa kabisa yaan haitawaka kuunlock na kuflash ni vitu viwili tofauti
 
Last edited by a moderator:
Nimenunua huawei Asend 530 lakini inatumia line za tigo tu na tigo inasumbua sana kwenye intenert, naomba km kuna mwenye ujuzi wa kuifangya itumie line zote.

Msubili mwl r.c.t aje atakusaidia usidanganye nafundi kuwa ataflash vinginevyo itakufa kabisa yaan haitawaka kuunlock na kuflash ni vitu viwili tofauti
  • Wadau wengi huchanganya flashing Vs Network Unlocking
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom