Kwanini Ulaya na Marekani ziwe nzuri halafu huko zisiwe?Iphone mnazishobokeaga tu lakini sio simu makini kwa hii bongo. Bota utafute android kali uta enjoy.
Hizo tuwaachie Marekani na Ulaya tu.
Unatakiwa uwe na Gb zaidi ya tano....hakikisha internet sio ya wasi wasi yani internet haiyumbi...kisha bonyeza kwenye hilo neno try...kitendo hicho kifanye data ikiwa onNdio wangu
Umeizima simu yako off halafu ukaiwasha? Kama hujafanya hilo jaribu. Halafu hakikisha internet ni nzuriNdio wangu
1. Restart simu yakoNdio wangu
wanaiga tu kisa walimwona diamond anayoIphone mnazishobokeaga tu lakini sio simu makini kwa hii bongo. Bota utafute android kali uta enjoy.
Hizo tuwaachie Marekani na Ulaya tu.
Ulishawah kumuona diamond anatumia IOs?!wanaiga tu kisa walimwona diamond anayo
Tatizo ni za mkononi . Sio new one, huenda ya wizi na ziko makini kwa.............Iphone mnazishobokeaga tu lakini sio simu makini kwa hii bongo. Bota utafute android kali uta enjoy.
Hizo tuwaachie Marekani na Ulaya tu.
Mang'anyu ndio nini?Simu ni mang’anyu