Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,433
- 191,755
Bongo hamjafikia kiwango cha technology cha ku Utilize 100% ya matumizi ya iphone na hilo ndo tatizo linalowasumbuaga wengi na simu zenu hizo!Kwanini Ulaya na Marekani ziwe nzuri halafu huko zisiwe?
Kwa matumizi wengi ni snapchat na mitandao mingine ya kijamii, kikubwa zaidi ni show off tu hamna lolote la maana kwenye hizo iphone ziko complicated bila sababu (The American way)! Hujiulizi kwanini corporates na organisation nyingi kwa nini wanatumia androids katika productivity mfano CRDB kwani hawazioni iphone?