Naomba msaada wa hii simu yangu iPhone 8+

IMG_0341.JPG


Nashukuru wadau jambo limefanikiwa
 
Betri masaa 12 bila kuchaji hapo unatumia internet na kupiga/kupokea simu mfululizo
Betri inapimwa kwa mAH, sio kwa sababu ni Iphone unaweza kuta simu ya android lakini ina mAH za kutosha kutembea in a full swing 24HRS.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom