donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salaam wakuu,
Juzi nilikua nacheki cheki kule xda nikakuta kuna jamaa ametengeneza kakitu flani hivi, actually ilikua mod ya pattern lock ya simu ambayo ina interface nzuri sana. Sasa baada ya kujaribu kufanya ile kitu, baada ya kuboot simu ndo majanga yametokea. yaan since juzi siwezi kuaccess simu yangu, ukiwasha yanatokea tu maandishi ya simu, halafu hapo hapo screen inakua blank na hapo kutest kuwasha tena adi uchomoe betry na kurudishia. ila ukiweka kwenye charge inaonesha charging kabisa, naombeni msaada wakuu, ninapata access yakuingia kwenye recovery mode ila am not sure whats the next step i shall do ili niweze kurudisha simu yangu.
cc: chief-mkwawa, njunwa wamavoko, CYBERTEQ

Last edited by a moderator: