Hapa nahitaji ufafanuzi wa lugha. Ukichemsha maji maana yake nyuzi joto linafika mia maji yanachemka. Lakini umeongeza "Mpaka yawe ya moto Vizuri" kwani maji yaliyochemka huwa siyo ya moto? au kuwa ya moto vizuri ni zaidi ya kuchemka? au kuchemsha muda mrefu?KUNGUNI
Mkuu hao dawa yao n ndogo tu
Andaa mafuta ya taa + sabuni ya unga + maji
Chemsha maji mpaka yawe ya Moto vzr weka mafuta ya taa na hyo sabuni ya unga .
Mwaga kila Kona kunguni wanapokaa kiukwel utawaokota Kama njugu
#97blessed
Maji yakiisha chemka huna haja kuendelea kuyachemsha.
Hahaha ukiwa mganga inabidi wagonjwa wakuelewe kwanza kabla hawajaelewa maelezo ya dawa.