Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Wanaitwa "BITTLE" uswahilini....Wanataka Kufanana na Kupe.
Bedbugs...
hata ulaya wapo, wakishaingia ndani kuwatoani Vita.... Watu wameshauri njia mbalimbali hizo zote zinapunguza tu maaana likibaki hata yai moja baaada wikiwanakuwa buku kadhaa......
Permanent solutions choma Kama Ni kuwahi Kama Bado hawajasoma Sana ndani(wapo kitandani pekeee) Ni kufungua kitanda mwagia maji ya Moto kweli kweli, shuka na blanket avichemshe..... GODORO ALICHOME MOTO, narudia Tena GODORO ALICHOME MOTO maana halichemshiki, na awahi kabla hawaja sambaa Hadi kwenye Kochi maana nazenyewe Moto utazihusu hasa Kama nihizi sofa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nimekaa hapa Bongo more than 40yrs na nilikua sijawahi kukutana na hao wadudu
So kukaa kwako italy 6yrs sio issue hapa,

Ni vyema ungefanya kautafiti kidogo hata kwa ku google naamini usinge andika huo upuuzi wako
Waafrika wakihadithiana uchafu wao hivi hili bara mtaelimika lini?

Nimekaa Italy 6yrs sijasikia huu upupu dah poor country with poor dirty stupid people!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana, mnatumia nguvu kubwa sana kuwaua hao wadudu wakati dawa yake ni ndogo sana.

Maduka ya pembejeo za kilimo wana dawa inatamkwa (dayazone), hii dawa ni kiboko.

Inawaua kwa harufu yake tu, wanavimba na kupasuka kama wote, popote pale ambapo harufu itafika.

Huhitaji kutoa vitu vyako ndani wala kuchemsha maji wala kujinukisha mafuta ya taa wala petroli.
Nimeipenda hii mkuu, nipo singida ntaiulizia madukani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNGUNİ ni dalili ya umasikini, ufukara na uchafu.
Hapana mkuu sio kweli, mi kuna sehemu nilihamia ikawa sijawah kuwaona kunguni, ila baada ya wageni mbalimbali kuja kutembelea home nilipopanga nikaanza kuskia nawashwa kila nikikaa kwenye kochi, nilipiga makochi yote maji ya moto, kisha nikanyunyiza dawa tena nikayaacha nje km miezi miwili hv hadi yakauke, wakaisha, nikawa sikaribishi watu ndani tena, baada ya muda si nikaachia tena watu waingie na kupiga stori na nini, wakarudi upya,

So kunguni sio uchafu, wanaishi sehemu yoyote ile ambayo inamaficho, km kwenye kona za kuta, kona za makochi, kitanda, sehemu zote ambazo kawaida hazisumbuliwi sana na hazipigwi na mwanga sana,

Ni wagumu kufa kwa Rungu, ila kuna dawa moja niliwah kuiona yan ikimgusa tu ananyoosha miguu juu anadondoka sekunde hiyohiyo, jina silijui maana nlipewa tu na watu wanaotembeza dawa. Wale wadudu omba wasikupate, uwe msafi haijalishi wale sio minyoo au funza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari inaniumiza,,hawa kungui wanamtesa mdogo wangu wa kiume nyumbani,,halafu ni chumba chake tu,,,hizo mbinu zote mlizosema zimetumika ila bado,,mpaka Wakati mwingine analala sebuleni,,, yani mpaka nahofia atapata madhara mana kila siku mafuta ya taayanamwagwa chumba anacholala
Achome GODORO na mito vingine achemshe Hadi vitokote, kitata atoe nje amwagiw maji ya moto %+ C.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waafrika wakihadithiana uchafu wao hivi hili bara mtaelimika lini?

Nimekaa Italy 6yrs sijasikia huu upupu dah poor country with poor dirty stupid people!!!
Hujawai kukutana nao, shukuru wewe sio wa kujichanganya na kila mtu, mi mwenyewe nilikua najua ni wadudu wanaotokana na uchafu, ila hata uwe msafi vipi, akitokea mtu tu mmoja akaja nao kwako ndo washafika hao, hayo unayoyaongea utayaedit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wadudu ni hatari sana hadi wametungiwa nyimbo loooooh
18095669_1320438468039599_340445745268129792_n.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atumie hiyo mimi nina miaka kumi nilishawasahau hawa wadudu nilileta vijana wa shamba toka kigoma balaa likaanza mabegi yalikuwa na kunguni wa kutosha nashangaa umekaa kwenye sofa unapigwa kimya kimya kuangalia la haula kunguni ikabidi nifanye fumigation mpaka leo nasikia kwa watu tu
Kunguni wanaletwa na watu siku zote, hilo nilishaprove zamani sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu
Mwezi wa 12 mwaka janakama likuja shemeji yenu geto, usiku hakulala analalamika anawashwa, nikampuuzia
Baada ya kama wiki nikapata tatizo la kiafya nikawa na dozi ya kama wiki 2 hivi, ikanilazimu siwe nakunywa pombe

Lahaula lakwata balaa nililokutana nalo usiku amini usiamini nimekimbia nyumba nalala gesti au kwa shemeji yenu

Kunguni wanang'ataa hadi unakasirika usiku ukianza kuingia
Nikajaribu kupuliza Rungu chupa nzima nikakaa kama siku 2, kuja kurudi mwendo uleule, sijalala kabisaa wanang'ata balaa
Ukiwasha taa usiku wanavyokimbia kujificha uwezi lala tena

Naombeni maelekezo jamani niwamalize hawa washenzi wameniathiri kisaikolojia hadi nachukia nyumba yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wadudu ni hatari kuliko yaani hadi wametungiwa nyimbo
Simpi Kiki Kunguni Wa Mwendo Kasi Song Download Mp3
18095669_1320438468039599_340445745268129792_n.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu
Mwezi wa 12 mwaka janakama likuja shemeji yenu geto, usiku hakulala analalamika anawashwa, nikampuuzia
Baada ya kama wiki nikapata tatizo la kiafya nikawa na dozi ya kama wiki 2 hivi, ikanilazimu siwe nakunywa pombe

Lahaula lakwata balaa nililokutana nalo usiku amini usiamini nimekimbia nyumba nalala gesti au kwa shemeji yenu

Kunguni wanang'ataa hadi unakasirika usiku ukianza kuingia
Nikajaribu kupuliza Rungu chupa nzima nikakaa kama siku 2, kuja kurudi mwendo uleule, sijalala kabisaa wanang'ata balaa
Ukiwasha taa usiku wanavyokimbia kujificha uwezi lala tena

Naombeni maelekezo jamani niwamalize hawa washenzi wameniathiri kisaikolojia hadi nachukia nyumba yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
KUNGUNI
Mkuu hao dawa yao n ndogo tu
Andaa mafuta ya taa + sabuni ya unga + maji

Chemsha maji mpaka yawe ya Moto vzr weka mafuta ya taa na hyo sabuni ya unga .

Mwaga kila Kona kunguni wanapokaa kiukwel utawaokota Kama njugu

#97blessed
 
Kwa vipimo gani mkuu. Mfano mafuta kiasi gani nk

Back
Top Bottom