Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

maege

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
309
73
Ndugu zangu baba yangu ni mgonjwa sana yupo hindul mandal, tumeshahangaika kama familia kupata damu tumeshindwa!!! Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie!!! 0714148504 plz mbarikiwe sana.
 
Tumehangaika sana kaka!!! Hata store ya damu hilo group tumekosa kaka!!!
 
Pole sana, pitia benki za damu hospitali zote kubwa, kwani hilo group linafahamika utata wake.
 
Poleni sana jamni,may he get well soon,..
But navojua O positive ni universal donor,au haimatch kwa hyo rhesus factor negative tu ?
 
So sorry.
Mini ni O Negative but nimechangia hivi karibuni. Inatakiwa ipite miezi sita nitoe tena
 
Ndugu zangu baba yangu ni mgonjwa sana yupo hindul mandal, tumeshahangaika kama familia kupata damu tumeshindwa!!! Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie!!! 0714148504 plz mbarikiwe sana.

Pole! zaidi amini atapona na kurudi ktk hali yake ya kawaida,kwanza nakushauri mtangulize Mungu na mengine yatafata.

Kwa sasa nipo mwanza hadi mwisho wa mwezi takuwa nsharudi dar naweza changia damu kwa ata kiasi kidogo kwa namna ya vile daktari anavyoweza shauri naweza toa kiwango gani mwilini mwangu...mimi pia ni group hilo hilo so ikibidi tuwasiliane ama kama itawezekana kutoa apa apa mwanza kwa muda huu na ukaipata dar nayo poa pia tuwasiliane,ni PM takupa namba yangu...zaidi siingii muda mwingi JF so angalau weekend ndio nakuwa naingia.

Regards
Ndugu...
 
ubarikiwe kwa utayari wako mkuu!!
 
Jamani bado sijapata!!! Naendelea kusisitiza nisaidieni kuokoa maisha ya baba yangu wapendwa!
 
Poleni sana jamni,may he get well soon,..
But navojua O positive ni universal donor,au haimatch kwa hyo rhesus factor negative tu ?
Ikishakuwa neg ndo utata sana. Hata hvyo ni universal donor BT not recipient. AB ndo universal recipient
 
So sorry.
Mini ni O Negative but nimechangia hivi karibuni. Inatakiwa ipite miezi sita nitoe tena
Mkuu ondoa wasiwasi, inawezekana kabisa kuchangia damu katika emergency situation/Critical condition kama hii
hata kama ulichangia hivi karibuni, only ni uwe na Afya njema na average range ya kiwango cha kawaida cha Damu(Above 12g/dl of Haemoglobin) plus Clinical judjement.

Kila unapochangia damu Chupa moja(1Unit=450ml) basi unakuwa umepunguza mwilini kiasi cha damu 1g/dl, kiasi ambacho ni kidogo sana kwa mtu mwenye Afya njema(Less than 10%).
Mwili una uwezo wa kurejesha kiasi hicho hata ndani ya wiki mbili tu.

Ushauri wa kutoa tena damu baada miezi sita kupita kama utahitaji kufanya hivyo ni 'Universal Medical Recommendation' lengo ni kumweka mchangia damu(Donor) in a maximum safe side.
 
Poleni sana jamni,may he get well soon,..
But navojua O positive ni universal donor,au haimatch kwa hyo rhesus factor negative tu ?
Kiongozi hapana.
Group O negative ndio Universal Donor ina match na zote(Negative na Positive), wakati Group O Positive ni Universal Positive Donor yaani ina match na Positive tu!!
 
Nipo name mtalam wa forever products, anashaur uwatafte, akipewa mgonjwa bidhaa hzo mwili utajitaftia damu wenyewe. Bidhaaa nzuri kwa Nazi hyo nice:-
1. B12
2. Fiids of greens
3. Nature mini
4. Aloe bits & peaches
5. Bee pollen I

Au mcheki kwa 0758263652
 
Ndugu zangu baba yangu ni mgonjwa sana yupo hindul mandal, tumeshahangaika kama familia kupata damu tumeshindwa!!! Nawaombeni ndugu zangu mnisaidie!!! 0714148504 plz mbarikiwe sana.
Kaka sory! Nimetoka kukomfirm assaivi hospital jirani apa kumbe ni 0+ not 0-...itafaaa?0757430630 PM inakataa coz ni new member
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom