Za kuambiwa changanya na zako.Mloganzira? Pale si ndo Jehanamu enyewe? Unajipeleka kibraa? Lol
Naamini hivyo pia.Pole sana mwanadada,,,,hopefully kuna watu wako hapo regency ama mloganzila wapo attached na Jf watasaidia,,,
Speedy recovery
Ficha upumbavu wako mkuu,,,, usijitie wa muhimu sana,,,, kwamba ni lazima akoment na kuandika nyuzi kila kukicha ? Wengine wako humu ni watumishi, wafanya biashara n.k,,,, pia wanazo familia zao, unadhani mda wote wanakesha jf ? Wengine sio wazungumzaji, wanasoma na kupita hivi !Since 2014 ina reaction score ya 64?, yaani haja comment au kuliko miaka yote hiyo!
patro mtandaoni au vipi kwamba regency Kuna daktari amemshauri ajiunge JF aombe ushauri au ndg zakemsaada upi madam wa mchango?, kama ni ndio njoo na I'd yako ya zamani ita saidia Sana.
Samahani,kwanini usingemshauri akaenda Muhimbili ya Upanga (Hospital kuu)?Waombe tu wakuandikie Rufaa. Kupona pia kunaendana na imani kama una imani na Mloganzila. Ila sijajua umetumia vigezo gani kuona panakufaa na si hospital zingine. Zungumza na Doctor atakuandikia tu rufaa haina hata mambo mengi wala. Kama unauwezo unaweza lipia hata ambulance ama tafuta usafiri binafsi wa kukufikisha kwa haraka maana njia ya kwenda Mbezi sio rafiki sana kwa sababu ya foleni.
Naunga mkono hojaZa kuambiwa changanya na zako.
Mloganzila ya 2018 siyo ya 2025..
Siku ukienda kupata huduma pale hautataka kwenda kwingine kabisa..
Wapi kaomba mchango?msaada upi madam wa mchango?, kama ni ndio njoo na I'd yako ya zamani ita saidia Sana.
Kwamba ameshindwa kujitibia hajaambatanisha kwenye hoja yake anachotaka yeye apate msaada au aelekezwe cha kufanya apate rufaa ya MloganzilaSema wakuu mambo ya matibabu gharama sana, kama una msaada wowote unaweza kumsaidia huyu ndugu yetu.
Ndiyo hospitali ya seeikali yenye miundombinu bora..Naunga mkono hoja
Huyu bwana maswali yake huko juu yamekaa ajabu sana,wakati mwengine watu masihara yanazidi humu hata jambo muhimu linaonekana utani which is siyo kitu kizuri.Wapi kaomba mchango?
Mloganzila.nenda Tu direct ila unatokea private ujuena kule bill yako itakuwa ya kipravate ..ujipange.ila uzuri kuleutaponaMimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila maana naona hapa sipati huduma nzuri sina mtu wa kunisaidia kutoka hapa ninatumia bima ya nhif ya mfanyakazi naombeni mnisaisie 0764214031
Pole sana dada yangu, Sasa kabla hajaja mtu wa kukusaidia Hilo nikuombe pambana uishinde hofu kwanza, hili linawezekana kwa kuomba au kusoma hata kwenye AI namna Bora ya kufanya meditation, hii itakusaidia kujitambua lakini pia kujua Hali unayopitia, kumaliza hofu na baada ya hapo possibly utaanza kuexperience changes kwenye kupanda kwa oxygenMimi sihitaji hela shida ni kwamba oxygen yangu inashuka huku still niko kwenye oxygen leo iko 68 inaniogopesha sana natamani kuhama hospitali ila sina wa kunisimamia nitoke hapa hiyo ndio shida yangu sina ndugu wa kunisemea hapa nitoke hapa hospitali
Exactly 💯 zamani ndio palikuwa miyeyusho sasa hivi Kuna Kila kitu pale pako vizuriNdiyo hospitali ya seeikali yenye miundombinu bora..
Mengine yanazungumzika..
Ndo maana nikamwambia kupona pia kunaenda sambamba na "imani". Na nikasema sijajua kwanini yeye kaona heri aende Mlohanzila. Ni kweli Muhimbili kuna ukaribu zaidi. Na nafikiri kunafikika kiurahisi zaidi tofauti na Mloganzila. Kuhusu Rufaa aombe tu watamuandikia kwa vile amekaa muda mrefu na hapati ahueni!!!Samahani,kwanini usingemshauri akaenda Muhimbili ya Upanga (Hospital kuu)?
Hapo ndiyo karibu zaidi akitokea Regency,ndugu mgonjwa pole sana kwa unayopitia Mungu akuponye.
Saturation 68 :SO2 kutoka 100Nimeweka no yngu hapo mm natka nitolewe hapa regency 0764214031 mm niko wodini shida yangu nataka nipewe rufaa niende hospitali nyingine ninatumia bima ya nhif
kabisa, kuna wakati ni busara kuweka dhana kuwa mtu ana matatizo kweli kuliko kuweka dhihaka kwa dhana mtu anadanganya.Huyu bwana maswali yake huko juu yamekaa ajabu sana,wakati mwengine watu masihara yanazidi humu hata jambo muhimu linaonekana utani which is siyo kitu kizuri.