Msaada wapendwa nimebadili window 10 nikaweka window 7 kwenye Lenovo laptop baada ya kukamilisha kuweka window touchpad ikagoma kufanya kazi. Nikahisi labda window 7 niloweka ndo imepelekea hilo tatizo nikabadili tena nikaweka window 8 lakini tatizo likabaki vilevile touchpad haifanya kazi.
naomba msaada wa mawazo jinsi ya kufanya kama kuna member alishawai kukutana na hilo tatizo. Au kuna member anajua jinsi ya kutatua hilo tatizo anisaidie.
naomba msaada wa mawazo jinsi ya kufanya kama kuna member alishawai kukutana na hilo tatizo. Au kuna member anajua jinsi ya kutatua hilo tatizo anisaidie.