Naomba msaada tatizo la storage space kwenye simu ya tecno

Naomba msaada tatizo la storage space kwenye simu ya tecno

Nisaidie mkuu ninataka kununua simu nyingine katika sifa unayoitaja cmu gani ambayo ni chip kama ya laki hadi laki na 30 ambayo itanifaa nshauri

Jaribu Huawei ascend y-511, ina internal space 4GB Kama bajeti yako ni ndogo.
 
Nime root inagoma nilitumia ki app flan kinaitwa poot nlipo maliza imenletea mitaarifa ya ajabu ajabu hatasiielewi lol, acha nkajichukulie huawei ni enjoy
 
Jaribu Huawei ascend y-511, ina internal space 4GB Kama bajeti yako ni ndogo.

kuna jamaa amechukua hiyo juzi lkn haipokei chochote kwa bluetooth, pia aki download App inaleta ujumba wa Error.
 
Nime root inagoma nilitumia ki app flan kinaitwa poot nlipo maliza imenletea mitaarifa ya ajabu ajabu hatasiielewi lol, acha nkajichukulie huawei ni enjoy

Tahadhari huawei nazo zimesha ingiliwa na maharamia.
 
Vipi kuhusu itel naona nayo tatizo n kama la tecno
 
Wapendwa wana JF, naomba msaada simu yangu ni tecno p3 tatizo niki download vitu inaniambia insuficient space, wakati nimedownload vitu vichache sana imejaaje, na inaniambia sc card space 5.34 gb free sielewi, nisaidieni
mkuu hili tatizo ni common kwa simu za tecno na hutoweza kupata soln humu jf wala google.Mimi nishauliza sana tu kuhusu hili humu jf na nimegoogle sana tu mpaka nimechoka mwenyewe bila mafanikio
 
Kaka'ngu jinyakulie tu Huawei Y-300 na hutojutia pesa yako kwa bajeti uliyonayo
 
Msaada jinsi ya kuhamisha vitu kutoka kwenye system memory kwenda ktk internal memory,cm yangu ni LG_E405
 
Ivi tecno p5 nayo ikoje wamenambia ni nzuri sana
 
Wapendwa wana JF, naomba msaada simu yangu ni tecno p3 tatizo niki download vitu inaniambia insuficient space, wakati nimedownload vitu vichache sana imejaaje, na inaniambia sc card space 5.34 gb free sielewi, nisaidieni

Hapo ndio tofauti ya simu ya ghali na ya bei rahisi!!

Hamisha baadhi ya Apps + extras (vitakavyokubali kuhama) viiende kwenye external memory na kila app mpya iweke kwenye external

Ukishndwa nielewa ni Pm ili nami pia nikuelewe
 
mkuu this is abnormal problem yani haliwezi kua fixed,mm nilijaribu mpaka kuifanya factory reset cmu yng lkn sikufanikiwa
 
Dah hizi headings bana! Mimi nimekuja mbio nikidhani unahitaji storage facility,maana mwaka huu mavuno yamekuwa mengi kweli!nikukodishe ghala langu kumbe...!
 
Ivi tecno m5 huko dar inauzwa bei gani
 
Back
Top Bottom