Naomba msaada tatizo la speed kwenye HTC t328t

Naomba msaada tatizo la speed kwenye HTC t328t

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Jamani nimepata hii simu lakini cha kushangaza haikamati 3g pia hii simu ipo slow sana yana ukitaka kufungua kitu has uwanja wa mesej inazunguk wee mpk mpak basi, niifanyeje ili uwe na kasi na kuweza kupata 3g, coz haina hata icon ya cdma au gsm, asanteni.
 
Hiyo fake meyangu mpaka natakakuweka speed gavana sema chaji tu ndokimeo.pole
 
Waungwan vp hakun mrejesho
 
je kwenye settings>wireless and network>mobile network angalia configuration zako za internet
 
Inawezekana simu uliyo nayo ni 2g au inasaport 2g na 3g sasa wew umeisetia 2g! Au inawezekana laini unayotumia ume. Erenew kuna tatizo ra replacement! Na kama ukifungua msg inaload muda bila shaka utakuwa unamaanish text za kawaida inabidi ujue ina RAM kiasi gani coz kama ipo chini ya 1gb huwa speed inaweza ikawa ndogo
 
Back
Top Bottom