SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,145
- 9,712
Unaenda kufanyaje....Siendi kuloga hapana nimeokoka kitamboo.
We Tapeli Tu hakuna kuokoka haponimeokoka kitamboo
Wekeza mwaya achana nao hawa eti uchawi kama nataka sintasema tuKwa nto...
Unataka kwenda pangani kutembea au kuwekeza?
Ni ili tujue tunakuunganisha na guide wakukutembeza au mwenyeji wa kukusomea dili la uwekezaji
Yupi??Kila la heri honey π
Mimi nimeshakupa talaka 2 moja tu imebaki nikuvumisheMjomba mimi niko Lushoto. Babe anataka kwenda Pangani. Sababu amezitoa. Usitugombanishe.
πMimi nimeshakupa talaka 2 moja tu imebaki nikuvumishe
Acha masihara tuje kwenye uhasilia hatujuani tunataniaga tu siku ziende nilikuwa napenda sana kampani yako sana why inanisaidia kusonga mbele hata ukiwa na mawazo mengi .π