Naomba Msaada: Nimesahau kidogo...!

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,033
3,944
...Wadau naomba msaada wenu. Kuna wakati nilikuwa nikitumia Modem ya Voda ambayo nilikuwa nawea kununua Bundle ya internet kupitia kwenye interface yake. Niliaacha kidogo kutokana na eneo nililokuwepo voda kupatikana kwa tabu. Nimeirejea lakini nimesahau ile njia ya kununua bundle kupitia interface yao ingawa najua ya kuuliza salio la bundle ni kuandika BALANCEDATA na Kutuma 15300. Naombeni msaada ile ya kununua bundle.
Shukurani Zimetangulizwa.
 
kama ni lile la sh 10000 unlimited send BOMBA7 to 15300 na huduma nyingine check *149*01 reli.

... Hapa haswa ndio tatizo langu. Huwezi kutuma hii kupitia ile interface yao ya zamani.
 
Asante Mkuu. Natumia zile za Mwanzo mwanzo kabisa za HUawei E220.

Kama ni huawei zinaingiliana dashboard tafuta modem zifuatazo
-tafuta modem ya airtel huawei e173 install dashboard yake utafaidika ina sehemu ya kuuga bundle kwa system ya nyota na reli mfano *149*01#
 
Back
Top Bottom