24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,632
- 5,968
na wew zwazwa uko mtaani ...utamalizaje chuo usipate ata sup moja jiandae kisaikology...Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
na wew zwazwa uko mtaani ...utamalizaje chuo usipate ata sup moja jiandae kisaikology...Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
Hizo BeD something ni vitu vya UDOM sana na vyuo vya public tu....km hiyo ADMAN ipo UDOM tu
1.8 CoNAS UDSM wamekula kichwa hasa Edu Wamekula kichwa....jf inawaweka bussy kula sup sup sup za nguvu pole... gpa ya 1.8 umeikosa nahisi utakuwa na 1.2
Napataje sup??na wew zwazwa uko mtaani ...utamalizaje chuo usipate ata sup moja jiandae kisaikology...
Ushauri tu...Wakuu poleni na majukumu.
Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni
GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F
1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?
Nawashukuru sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mremo maisha ya chuo nikikumbuka ni kituko koz wek 28 na bado sup inakukusu shitNapataje sup??
Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
Tutolee shombo zako hapa...! Nyie ambao hamjasoma tunawajua tu na ata kama umesoma itakuwa st Joseph utapata vipi sup sasa. Mtu aliesoma anajua kusup na kudisco ni sehemu ya maisha ya shule na zipo reasons kibao za kufanya hayo yatokee..! Fyoko fyoko jinga sana weweUna disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
Bila Shaka huyo jamaa anaesema unaanzaje kupata sup n wa st.Joseph huyooo maana Nina waahikaji zangu wanasoma st.Joseph ya mbezi ile huwa wanasema pale hamnaga sup....au bila Shaka atakuwa ni wa Kampala huyo.... Ila kww vyuo kama UDSM na vingine vilivyo strictly supp ni kawaida Sana....tena Kwa udsm hasa CONAS ndo kabisaaa sup unatembea nazo....Tutolee shombo zako hapa...! Nyie ambao hamjasoma tunawajua tu na ata kama umesoma itakuwa st Joseph utapata vipi sup sasa. Mtu aliesoma anajua kusup na kudisco ni sehemu ya maisha ya shule na zipo reasons kibao za kufanya hayo yatokee..! Fyoko fyoko jinga sana wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Povu ruksa,ikikuuma kimya scania zwazwa mwingine weweTutolee shombo zako hapa...! Nyie ambao hamjasoma tunawajua tu na ata kama umesoma itakuwa st Joseph utapata vipi sup sasa. Mtu aliesoma anajua kusup na kudisco ni sehemu ya maisha ya shule na zipo reasons kibao za kufanya hayo yatokee..! Fyoko fyoko jinga sana wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikienda kusoma masters lakini degree yangu,hamna sup kwa transcript yangusawa mremo maisha ya chuo nikikumbuka ni kituko koz wek 28 na bado sup inakukusu shit
Ndivyo ilivyo siku hizi Kuna watu wana A.GS kapata 'C'?? Amesoma nchi gani??
#krav_maga
Ukuu wa mkoa.SASA KAMA AMEDISCO UALIMU ATAFAULU FANI GAN?
Mie nikasema naonekana aje aje sijui. waambie weweSASA KAMA AMEDISCO UALIMU ATAFAULU FANI GAN?
Kwa wanawake kawaida + GPA za mbunye.na wew zwazwa uko mtaani ...utamalizaje chuo usipate ata sup moja jiandae kisaikology...
Hahahahah ule wa K.K TatuUkuu wa mkoa.
Aende akatafute jina lakoPanick at your own risk. Nenda udsm katafute jina langu kokote unakojua wewe then tazama matokeo kama utakuna na sup kwenye transcript. Take chill pills boya wewe
