mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
- Thread starter
- #121
Sheria za TCU namba 43 inamruhusu kuendelea ispokuwa kwa makosa ya kinidhamh
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu poleni na majukumu.
Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni
GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F
1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?
Nawashukuru sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi gs na bam zinapewa gred kama masomo mengine lkn haziwi included kwenye divisionGS kapata 'C'?? Amesoma nchi gani??
#krav_maga
Usimtusi mwenzio ndugu mimi sikuwahi kupata hata c,ni A,B+ na B peke yake lakini siwez kumdharau mtu.Kuna mtu ana A tupu lkn ansheshimu wengine.Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
Ukweli ni zwazwa..that's allUsimtusi mwenzio ndugu mimi sikuwahi kupata hata c,ni A,B+ na B peke yake lakini siwez kumdharau mtu.Kuna mtu ana A tupu lkn ansheshimu wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app

Wengi WA namna hii,muligraduate kwa CHUNGULIA PIPA#Exams hallUna disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
JITAHD UITUMIE ELIMU YAKO VZR MTAANI NA UFAIDIE JAMII....sawa? BintiLabda nikienda kusoma masters lakini degree yangu,hamna sup kwa transcript yangu
Wengi WA namna hii,muligraduate kwa CHUNGULIA PIPA#Exams hall
Kutopata Sup c jambo la kujisifia![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
JITAHD UITUMIE ELIMU YAKO VZR MTAANI NA UFAIDIE JAMII....sawa? Binti
Sent using Jamii Forums mobile app
utoto sio umri ni uwezo wa kupambanunua mambo. umenesha kiasi fulani una dharau kwa kuwaona wadogo hawana akili au utashi wa kufanya mambo ya tofauti na ya maana.