Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

mkuu uko very confortable kwamba umesoma udsm..
wewe ndio ulitakiwa uwe mfano sasa tuone ushauri wako..uoneshe huko udsm mnafundishwa hekima, busara na maarifa...msitupe doubt sisi wa chief kunambi community development colleges.. juu ya elimu iliyopo udsm sasa hapa tunaanza kuwa na mashaka na huko udsm..kwa ushauri uliotoa mwanangu bora nijipigepige akasome tu nje ya nchi kwa kweli
Kumbe mpaka ujipige pige. Pambana na hali yako
 
dada wewe msomi,hebu kuwa mfano ,tumia elimu yako kuokoa jamii yako au ulitaka umsaidie tu mawazo mdogo wako anapofail ??
usikashifu sababu hujui amedisco kwa sababu zipi

asante

Msema kweli ni muda
Wakusoma wanakuwaga hivo mkuu..! Mnapoteza energy bure tu kwa kilaza moja hivi ambalo linajifanya kila kitu linajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANAYEFELI CHUO NI KILAZA

YAN UMEFAULU STD I-FORM 6, UNAKUJA KUFELI CHUO? AU KUSUP? UJINGA HUU
 
Wakuu poleni na majukumu.

Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni

GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F

1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?

Nawashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Arudi kijijini akalime vinyungu tu
 
Nikiwa SUA mwaka flani kuna Dada tulisoma nae(Alidisco), na kabla yetu alidisco tena miaka kadhaa kabla ya darasa letu.Ila alikuwa katokea kazini(In-service)

Yote hapo juu nilitaka kusema kwenye masuala ya judgement kuna mambo mengi ya kutizama kama
1.Hali ya familia kiujumla.
2.Mazingira kiujumla
3.Hali ya kipato
4.Mazingira ya kielimu
5.Historia ya familia na mwanafunzi kielimu.
6.Mood ya mwanafunzi siku ya mtihani.
7.Mfumo madhubuti wa elimu kutoka serikalini
8.Bila kuwasahau uhusiano kati wahadhiri katika vyuo husika.Kwani kuna wengine wana kinyongo na kuwala watu vichwa bila sababu za msingi.

Mwisho nilitaka kusema Elimu haina mwisho kuna maprofesa walidisco,walirudia miaka kadhaa kipindi wanasoma,Walibebeshwa masomo lakini mwisho wa siku walifanikiwa katika utafutaji wao. Aangalie amekosea wapi na aanze mwanzo mpya.
 
Wakuu poleni na majukumu.

Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni

GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F

1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?

Nawashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana aisee

Mwambie asikate tamaa, kufeli na kufaulu ni sehemu ya maisha

Kwa mtu aliye-disco,
taratibu ninazofahamu mimi, itampasa kukaa miaka 3, then ataruhusiwa kuomba chuo na kama alikua mnufaika wa HESLB atatakiwa kulipa 25% ya kiasi cha fedha yote aliyokwisha kutumia.
Ila pia kila chuo kinakua na utaratibu wake kulingana na sababu ya ku-disco.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu poleni na majukumu.

Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni

GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F

1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?

Nawashukuru sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama amedisco kwenye education mungu amemuonesha njia
sasa akaapply degree inayoeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe pole sana. Hiyo ni sehemu tu ya maisha.

Utaratibu ulikuwa ukidisco, utasubiri miaka miwili ndipo uruhusiwe kuomba kudahiliwa tena katika taasisi ya elimu ya Juu.
Hii ni pale usajili ulipokuwa chini ya TCU.

Kwa sasa sijajua, kwa sababu usajili hufanyikia moja kwa moja chuoni. Cha Msingi, aende akaombe kwa baadhi ya vyuo na kisha muone nini kitafata.
Atapata chuo ila bodi watamtaiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada etu ana matokeo mazuri tuu form six, hvyo atakuwa na uwanja mpana wa kuchagua kozi nzuri, kabla ya hili ebu twende huku kwanza.

Nin kimesababisha kudisco? Watu wengi sana huwa wanashindwa kumaliza elimu zao za vyuo ilihali walikuwa na matokeo mazur form six sababu ya kwenda kusomea kozi wasizozipenda, unapochagua kozi husiyoipenda ni rahis sana kushindwa, maana unakosa msukumo kutoka ndan wa kukufanya uweze kukomaa na masomo yako.

Linapotokea jambo baya kama hilo la kudisco... vijana wengi linawatengenezea "self doubt" mtu anapoteza kujiamin, na mwngne anaweza akakataa kabisa kurud shulen, watu wengi wanapishana mda wanaotumia kupita kwenye mpito wa hali hizo mbili, watu waliowazunguka wana mchango mkubwa sana katika mda watakaoutumia watu hawa kutoka kwenye anguko na kusimama tena.

Ndugu yako anapopatwa na jambo kama hilo, inabid umuaminishe alishindwa hyo kozi kwakuwa haukuwa mpango wa MUNGU awe mwalim, kuna kitu kizuri zaid ameandaliwa, katika kipind hiki mtembeze kwa ndugu, jamaa na marafiki waliofanikiwa kwenye kozi nyingine ambazo kwa utash wako unaziona nzuri, ndan ya mda mchache ataanza kutaman na kupenda kuwa kama flani, maana watu wengi huwa tunapenda kozi flani kutokana na exposure tulizonazo kwa watu husika.

Baada ya wewe kutoa msaada wa kimazingira, mpe nafas achague kozi anayoiona ye inafaa, kimsingi, atachagua kati ya za watu wale uliomu expose nao.

Baada ya kufanya hayo, kijana ataenda kupiga shule vizur bila woga wa kushindwa na akiwa na mapenz yoote na anachosomea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu uko very confortable kwamba umesoma udsm..
wewe ndio ulitakiwa uwe mfano sasa tuone ushauri wako..uoneshe huko udsm mnafundishwa hekima, busara na maarifa...msitupe doubt sisi wa chief kunambi community development colleges.. juu ya elimu iliyopo udsm sasa hapa tunaanza kuwa na mashaka na huko udsm..kwa ushauri uliotoa mwanangu bora nijipigepige akasome tu nje ya nchi kwa kweli

Mkuu Udsm hawatoi product ya hovyo kama hi
 
Back
Top Bottom