Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

Pole sana aisee

Mwambie asikate tamaa, kufeli na kufaulu ni sehemu ya maisha

Kwa mtu aliye-disco,
taratibu ninazofahamu mimi, itampasa kukaa miaka 3, then ataruhusiwa kuomba chuo na kama alikua mnufaika wa HESLB atatakiwa kulipa 25% ya kiasi cha fedha yote aliyokwisha kutumia.
Ila pia kila chuo kinakua na utaratibu wake kulingana na sababu ya ku-disco.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo sio miaka 3 ni miwili kama unataka kurudi chuo ulicho disco

Ila kwa saivi anaruhusiwa ku apply tena chuo kingine
 
kama kweli kasoma hapo....anaidhalilisha taasisi kubwa kama udsm...mi nimepigwa na butwaa mimi najua motto wa udsm ni "hekima na busara" sasa kama mafunzo yao hayareflect kile wanachokiproduce bora udsm ifungwe tu

Mkuu huyo hawezi kuwa amesoma chuo kile. Atakuwa ana certificate ya chuo cha Magogoni
 
Afadhali Hata ningekuwa Malaya wa lecture ningeandika Nina degree ya chup!...
mkuu motto wa udsm ni "hekima na busara" sasa kama wanachofundisha udsm hakireflect kwenye product inazozitoa bora hiyo taasisi ifungwe tu maana hata chekechea wana "hekima na busara"
 
Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
Mkuu sup sio kitu cha ajabu kwa maisha ya chuo
Labda uwe unasoma coz izi laini lain sijuiusecretary vyuo km cbe ndo unaweza umalize bila sup

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
pole sana ndugu, kwa huyo ndugu yako ila nachopenda kukushauri asiapply chuo kwa kipindi hichi akae kwanza nyumbani mwaka mmoja asome mazingira ya kitaa vizurina changamoto zake then apate uchungu wa kusoma pindi akuwepo chuoni hiyo itamsaidia kumpa nguvu ya kurudi kwa kasi na kwa nia zaidi pia kwa kipindi cha mwaka mmoja atakaokuwa anasubiria achanganue kichwa chake na kujua kipi kitamsaidia akisoma then mwisho wa siku ajiajri au kuajiriwa kama atakuwa na channel nzuri. kwa kipindi cha mwaka mmoja naimani atajifunza mengi na yatamsaidia kumkuza kiakili..ningekusaidia juu ya program za kusoma ila mm nimebase sana kwenye science.pia ni muhitimu wa mwaka huu kwa bachelor of science in chemistry ( UDOM) na kwa sasa napiga kazi...huku nasubiria matoke.
 
Kusoma siyo ndio kila kitu, kuna vitu vingi vya kufanya mtaani kama imetokea amepata sup na baadae disco ina maana kichwani hamna kitu pengine hata hayo matokeo ya kidato cha sita si yake labda alipiga chabo, mshauri ndugu yako afanye kazi za mikono zisizohitaji akili nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Awahi aombe chuo kingine kabla ya vyuo kusitisha applications

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Kwanza apeleke barua TCU atolewe kwenye system alafu aanze kuomba maombi. Kwa bodi ya mikopo akitaka apate mkopo inabidi alipe 25% ya hela aliotumia.
MUNGU amsaidie, naamini alijikwaa hakuanguka kwahyo ajifute aendelee na safari.
 
ANAYEFELI CHUO NI KILAZA

YAN UMEFAULU STD I-FORM 6, UNAKUJA KUFELI CHUO? AU KUSUP? UJINGA HUU
Mkuu usijaji kudsco inategemea na mazingira ya mtu yakoje

Kuna watu wengne wanajisomesha hawana wazazi anaamka asubuhi anajichanganya kitaa kusaka pesa ya kula kwanza
So ni vema ukajaji kutokana na background ya mtu

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
kama amedisco kwenye education mungu amemuonesha njia
sasa akaapply degree inayoeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu unanithibitishia kuwa education ni degree isiyoeleweka????
Acheni dharau na professional za watu yaani mkuu hovyo kabisa huna hata aibu eti apply degree ya kueleweka
Alafu unaweza kuta alieomba education matokeo alikupiga gap kabisa kidato cha sita...
Hivi mkuu kama education ni degree isiyoeleweka huna haja ya kumpeleka mtoto wako shule maana atakuwa anafundishwa na watu wasioeleweka sasa
 
Samahani mkuu itakua ulimwelewa vibaya nnavoona alimaanisha ajira siku hizi kwa walimu wa arts hakuna so heri usome kitu unachokipenda tu maana zamani sie maskini tulikua tunaenda uko sababu ya kupata mkopo na ajira ya moja kwa moja hasa kwa waliosoma arts.
 
Pamoja mkuu
 
pole sana ndugu, kwa huyo ndugu yako ila nachopenda kukushauri asiapply chuo kwa kipindi hichi akae kwanza nyumbani mwaka mmoja asome mazingira ya kitaa vizurina changamoto zake then apate uchungu wa kusoma pindi akuwepo chuoni hiyo itamsaidia kumpa nguvu ya kurudi kwa kasi na kwa nia zaidi pia kwa kipindi cha mwaka mmoja atakaokuwa anasubiria achanganue kichwa chake na kujua kipi kitamsaidia akisoma then mwisho wa siku ajiajri au kuajiriwa kama atakuwa na channel nzuri. kwa kipindi cha mwaka mmoja naimani atajifunza mengi na yatamsaidia kumkuza kiakili..ningekusaidia juu ya program za kusoma ila mm nimebase sana kwenye science.pia ni muhitimu wa mwaka huu kwa bachelor of science in chemistry ( UDOM) na kwa sasa napiga kazi...huku nasubiria matoke.
Ushapata kazi na chemistry yako mkuu...uko wapi tujue na sisi tuombe chemistry mwaka huu hapo Udom.
 
Back
Top Bottom