nez-o Senior Member Joined Apr 13, 2019 Posts 181 Reaction score 180 Aug 6, 2020 #1 Nimebonyeza *35*0000# nikipigiwa simu anayenipigia anajibiwa simu yangu imezuiliwa kwa mda, ila mimi nikipiga simu ninaowapigia nawapata Nifanyaje ili tatizo hili la kutopatikana kwa wanaonipigia liishe.
Nimebonyeza *35*0000# nikipigiwa simu anayenipigia anajibiwa simu yangu imezuiliwa kwa mda, ila mimi nikipiga simu ninaowapigia nawapata Nifanyaje ili tatizo hili la kutopatikana kwa wanaonipigia liishe.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,573 Aug 6, 2020 #2 bonyeza tena hizo hizo
hyassin92 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 582 Reaction score 636 Aug 6, 2020 #3 Anza na #35*0000#
nez-o Senior Member Joined Apr 13, 2019 Posts 181 Reaction score 180 Aug 6, 2020 Thread starter #4 hyassin92 said: Anza na #35*0000# Click to expand... Mkuu inagoma
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,905 Reaction score 27,554 Aug 6, 2020 #5 Ukifanikiwa kutoka nijulishe...
hyassin92 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 582 Reaction score 636 Aug 6, 2020 #6 Inatoa hiyo ukitaka usipige
nez-o Senior Member Joined Apr 13, 2019 Posts 181 Reaction score 180 Aug 6, 2020 Thread starter #7 stephot said: Ukifanikiwa kutoka nijulishe... Click to expand... Ok
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,224 Reaction score 16,905 Aug 6, 2020 #8 #*21*0000#
W wildfish JF-Expert Member Joined May 28, 2014 Posts 1,116 Reaction score 712 Aug 6, 2020 #9 Naona uliamua kutest mitambo!kubaliana namatokeo,hongera sana umefanikiwa kupata majibu namna ya kuwablock watu wote wasikupate hewani.
Naona uliamua kutest mitambo!kubaliana namatokeo,hongera sana umefanikiwa kupata majibu namna ya kuwablock watu wote wasikupate hewani.
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,083 Reaction score 6,239 Aug 6, 2020 #10 Bonyeza *35*0000*16#
nez-o Senior Member Joined Apr 13, 2019 Posts 181 Reaction score 180 Aug 6, 2020 Thread starter #11 wildfish said: Naona uliamua kutest mitambo!kubaliana namatokeo,hongera sana umefanikiwa kupata majibu namna ya kuwablock watu wote wasikupate hewani. Click to expand... Mkuu umeamua kunifokea nisaidie bc
wildfish said: Naona uliamua kutest mitambo!kubaliana namatokeo,hongera sana umefanikiwa kupata majibu namna ya kuwablock watu wote wasikupate hewani. Click to expand... Mkuu umeamua kunifokea nisaidie bc
nez-o Senior Member Joined Apr 13, 2019 Posts 181 Reaction score 180 Aug 6, 2020 Thread starter #12 Iselamagazi said: Bonyeza *35*0000*16# Click to expand... Inakataa mkuu inaniambia MMI code started
Macbook pro JF-Expert Member Joined Jul 15, 2020 Posts 752 Reaction score 1,106 Aug 6, 2020 #14 wildfish said: Naona uliamua kutest mitambo!kubaliana namatokeo,hongera sana umefanikiwa kupata majibu namna ya kuwablock watu wote wasikupate hewani. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye akubaliane alichokuwa anakitafuta. Mwanakulifind mwanakuliget [emoji23]
wildfish said: Naona uliamua kutest mitambo!kubaliana namatokeo,hongera sana umefanikiwa kupata majibu namna ya kuwablock watu wote wasikupate hewani. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye akubaliane alichokuwa anakitafuta. Mwanakulifind mwanakuliget [emoji23]
nez-o Senior Member Joined Apr 13, 2019 Posts 181 Reaction score 180 Aug 6, 2020 Thread starter #15 Macbook pro said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye akubaliane alichokuwa anakitafuta. Mwanakulifind mwanakuliget [emoji23] Click to expand... Sio uungwan huo mkuu mnisaidie
Macbook pro said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye akubaliane alichokuwa anakitafuta. Mwanakulifind mwanakuliget [emoji23] Click to expand... Sio uungwan huo mkuu mnisaidie
A abdulhamis JF-Expert Member Joined Aug 2, 2019 Posts 1,422 Reaction score 2,301 Aug 6, 2020 #16 Iselamagazi said: Bonyeza *35*0000*16# Click to expand... Duh
Macbook pro JF-Expert Member Joined Jul 15, 2020 Posts 752 Reaction score 1,106 Aug 6, 2020 #17 nez-o said: Sio uungwan huo mkuu mnisaidie Click to expand... Pole mkuu, tatizo ni kwamba sina jibu
nez-o Senior Member Joined Apr 13, 2019 Posts 181 Reaction score 180 Aug 6, 2020 Thread starter #18 Macbook pro said: Pole mkuu, tatizo ni kwamba sina jibu Click to expand... Sawa
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,205 Reaction score 30,793 Aug 6, 2020 #19 Kwa ninavowafahamu wabongo nao watajaribu kubonyeza ili waone Kama ni kweli
RIZIKI ALLYS MUHUNZI JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 637 Reaction score 779 Aug 6, 2020 #20 #*35*0000# ukibonyeza tu ujui ushafungua kuandika mmi stater ndio imefunguka