Hiyo ni ku activate huduma ya call barring. Sasa UNDO kwa kuanza na # ,toa nyota hiyo. Mwwnzon.Nimebonyeza *35*0000# nikipigiwa simu anayenipigia anajibiwa simu yangu imezuiliwa kwa mda, ila mimi nikipiga simu ninaowapigia nawapata.
Nifanyaje ili tatizo hili la kutopatikana kwa wanaonipigia liishe.
Sahihi kabisaAnza na #35*0000#
pole mkuu maana hizo chenga hata kupikia vitumbua haifai.Mpaka sasa chenga mkuu sijafanikiwa
Hiyo ni CALL BARRING, nenda kwenye CALL SETTING[emoji3591]MORE SETTING[emoji3591]CALL BARRING[emoji3591]VOICE CALL[emoji3591]ALL INCOMING CALLS(Angalia kama imekuwa ticked, kama ndio switch off itakuambia uweke password nafikiri ni PIN 2 hivi kama unazo ziweke)Haikubali
Kwenye password jaribu kuweka 0000 au 1234.Hiyo ni CALL BARRING, nenda kwenye CALL SETTING[emoji3591]MORE SETTING[emoji3591]CALL BARRING[emoji3591]VOICE CALL[emoji3591]ALL INCOMING CALLS(Angalia kama imekuwa ticked, kama ndio switch off itakuambia uweke password nafikiri ni PIN 2 hivi kama unazo ziweke)
Kama ulikuwa unasave kwenye google account utazikuta ...Nikireset cm majina hayatafutika mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye akubaliane alichokuwa anakitafuta. Mwanakulifind mwanakuliget [emoji23]