Naomba msaada nataka kuwa programer kwa kujisomea mwenyewe nifanyaje

Huitaja kuwa genius kujifunza programming,ni rahisi tu....msiwatishe watu bwana.
Kwani mtoto anahitaji kuwa genius ili atembee? Halafu nani kamtisha nani?
Kunywa maji upumzike halafu rudi tuongee 🙂
 
Hiyo si kweli.
Me nilianza kusoma programming mwenyewe baada tu ya kumaliza 4m 6. Na nilikuwa naelewa vizuri, sema choice ya language ndiyo inaweza kuwa tatizo.
Kwa mfano, me nilitamani sana kusoma java kwasababu inatumika sana kudevelop mobile applications ila ikawa ngumu kueleweka. Nilipoamua kusoma c++, mambo yalikuwa rahisi na imenisaidia sana nilipofika chuo kwani hiyo ni lugha tuliyoanza nayo kabla ya java na VB.
So, kama unabidii katika kitu unachotaka kusoma na ukapata ushauri mzuri, unaweza ukajisomea mwenyewe na ukaelewa.
 
Asante sana mkuu.......najipanga kuwasiliana na CTO ili anipe mautundu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom