Usomaji sahihi wa Kipimo Cha HIV.

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,471
3,646
Habari wana jamvi, naomba kueleweshwa namna bora ya kusoma kipimo Cha HIV (rapid test).

Nimenunua kipimo, nikasafisha kidole Kisha nikatoboa na kupima damu, kwenye kifaa hicho, ndani ya dk 10-20 za mwanzo Mstari mmoja C, ndani ya saa moja bado ilikuwa mstari mmoja C, baada ya masaa 3 kipimo kikabadilika kabisa na kuwa na mistari 3 na yote miwili ya mwisho imetokea kwa kufatana ama kwa pamoja.

Naomba mawazo yenu wadau.
 
Madaktari watakusaidia mkuu subiri.
 
Kipimo kinakua valid chini ya dakika 30 baada ya hapo lolite linaweza tokea. Ndio maana tunashauriwa kupima kwenye vituo vya afya maana unaweza jiua kwa presha na mawazo
 
Mrejesho

habari wana jamvi, niliamua kwenda kupima hosp mbili tofauti moja ni private na nyingine ya serekalii.

majibu yalikuwa Niko Negative kabisa na hakika nilifurahi kwasababu kipimo Cha awali kilianza kubadilika baada ya nusu sana na kuchora mistari mingi

kingine siyo kweli kuwa kikichora mistari mingine ni una UTI, ama malaria ama Nini, vyote nilipima na nilikuwa fresh kabisa Sina magonjwa yoyote.

ushauri wa bure, jaman tukapime hospitali kabisa kwa wataalam, haya mambo ya kujipima siyo sawa kabisa yanatia presha na kufwa kwa mawazo!
 
Nahitaji hivyo vipimo, vinapatikana pharmacy bila tatizo?
 
Back
Top Bottom