Naomba msaada kuhusu kipimo cha UKIMWI

monte caro

Member
May 9, 2014
10
9
Nina tatizo hapa kuhusu kipimo cha HIV
Kilionesha Line katika mstari wa C ndani ya Dk 15 za mwanzo ila baada ya dk 25 kuna mistari partial 2 ilijitokeka kwa mbali.. Je nini tatizo kipimo kiko active hakija expire, huyu mtu ni Negative au Positive
IMG_3468.jpg
 
Duh hakulaliki huko eeghh?? Sina uhakika ila nadhani hii ni "Non-reactive" subiri wajuvi waje. Meza dawa za usingizi ulale

Absolutely usingizi haukuja. leo CTC wamepima na hicho hicho naonekana nilikua na contaminants kwenye mkono na skusafisha sehem na spritis kabla kutoa damu, pia nimepima damu nkakuta nina alergy inayozalisha kinga pia nikapewa ant alergy.. ila muhudumu kasema sina tatizo
 
Utumie Kinga sasa na utulie, si unaona jinsi ulivyokesha?
 
Back
Top Bottom