Carlosjr09
New Member
- Feb 5, 2021
- 1
- 0
Wadau naomba msaada mwenye hii case ya Tanganyikaganyika Garage v. Marcel G. Mafuruki (1975) LRT 23 anisaidie facts na judgment yake.
Yaani mkuu kwa Law reports zilivyotapakaa hivi isitoshe una full citation ya case unataka nini kingine?Wadau naomba msaada mwenye hii case ya Tanganyikaganyika Garage v. Marcel G. Mafuruki (1975) LRT 23 anisaidie facts na judgment yake.
Yaani mkuu kwa Law reports zilivyotapakaa hivi isitoshe una full citation ya case unataka nini kingine?
Please msaidie maana LRT si rahisi kuzipataYaani mkuu kwa Law reports zilivyotapakaa hivi isitoshe una full citation ya case unataka nini kingine?