Mpendwa Gaga93,pole sana kwa yaliyokusibu najua umefedheheka sana kwa ushauri wa lugha kali uliopewa na baadhi ya wakuu hapo juu...Nasikitika kukueleza kwamba uliwahi sana kuanza mapenzi kitu ambacho si kizuri kwako.But kwa kuwa yameshatokea jitahidi kuanzia leo punguza mawasiliano na huyo mkaka,jitahidi kufikiria changamoto za chuo unazoenda kukabiliana nazo.Ni vyema ukafikiria jinsi utakavyoweza kuendana na masomo magumu ya chuo...Kitu muhimu ni ww kutambua thamani yako na kuilinda.Sawa, ni kweli unampenda huyo mkaka but jaribu kufikiria jinsi wazazi wako wanavyohangaika ili kukutengenezea maisha bora ya badae.Elewa kwamba watu wako kwenye mahusiano kwa ajili ya kutafuta furaha na inapotokea uwezekano wa kushindwa kuipata hiyo furaha waliyoitarajia huenda kuitafuta sehemu nyingine so uamuzi ni wako....You must focus on your Strengths
''All power is within you,you can do anything,Believe in that,Do not believe that you are weak.You can do anything and everything,even without the guidance of anyone...All power is there.Stand up and express the divinity within you''.