X Ximena JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 641 Reaction score 353 Sep 28, 2014 #41 Mmh washauri wa humu utadhani wote walianza mapenzi baada ya kumaliza chuo maana wengi ni wakali loh
S simwela Member Joined Sep 15, 2014 Posts 71 Reaction score 9 Sep 28, 2014 #42 Mie nimekuelewa hebu ni pm kwa ushaur zaid
Christine_1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,881 Reaction score 44,233 Sep 28, 2014 #43 Evelyn Salt said: Ukifika chuo ukaanza kulaliana kwenye madeka mambo yatajipa yenyewe...!!! Click to expand... Hahahaa Hakujui chuo hyu
Evelyn Salt said: Ukifika chuo ukaanza kulaliana kwenye madeka mambo yatajipa yenyewe...!!! Click to expand... Hahahaa Hakujui chuo hyu
Christine_1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,881 Reaction score 44,233 Sep 28, 2014 #44 mwekundu said: Hili suala lako linahitaji msaada wa kisaikolojia hebu ni PM kwanza Click to expand... Hahahaa haaaa
mwekundu said: Hili suala lako linahitaji msaada wa kisaikolojia hebu ni PM kwanza Click to expand... Hahahaa haaaa
Christine_1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,881 Reaction score 44,233 Sep 28, 2014 #45 romantic eyes said: Mmh washauri wa humu utadhani wote walianza mapenzi baada ya kumaliza chuo maana wengi ni wakali loh Click to expand... I wonder
romantic eyes said: Mmh washauri wa humu utadhani wote walianza mapenzi baada ya kumaliza chuo maana wengi ni wakali loh Click to expand... I wonder
Christine_1 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,881 Reaction score 44,233 Sep 28, 2014 #46 Ww bado mt nenda kasome! Halafu naona mtt mmemshambulia mbona huyo mwanaume kamsaliti na kuzaa na mwanamke mwingin? Hiki kitu cha hyo jamaa kuwa na mtt kinamuuma hyu binti na inavyoonekana haupo tayari kulea hyo mtt! Ushauri wangu achana nae uende ukasome kwanza na utulie huko chuo la sivyo utabanjuliwa mpaka ushangae
Ww bado mt nenda kasome! Halafu naona mtt mmemshambulia mbona huyo mwanaume kamsaliti na kuzaa na mwanamke mwingin? Hiki kitu cha hyo jamaa kuwa na mtt kinamuuma hyu binti na inavyoonekana haupo tayari kulea hyo mtt! Ushauri wangu achana nae uende ukasome kwanza na utulie huko chuo la sivyo utabanjuliwa mpaka ushangae