Naomba msaada kwenye Infinix hot 30i.

Naomba msaada kwenye Infinix hot 30i.

COLTAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
313
Reaction score
268
Habariini.
Natumia Infinix hot 30i.
Ninatumia sim cards mbili halotel na Vodacom.
Shida ipo hivi nimechagua sim 1 ambayo ni halotel kutuma meseji.Sasa nikituma meseji inaenda kwenye upande WA Vodacom ambapo sijaset Vodacom kutuma ujumbe.Shida itakuwa nini niendelee kutuma sms sim card 1 ya halotel?
Msaada.
Screenshot_20250826-131136.jpg
 
Mkuu siku hizi sms kuna setting ya 2 uki acha ile ya general, ukisha seti Vodacom.

Nenda kwenye sehemu ya kutuma sms, bonyeza jina la mtu, kisha uta ona line iliyo chaguliwa kutuma sms hiyo.
 
Mkuu siku hizi sms kuna setting ya 2 uki acha ile ya general, ukisha seti Vodacom.

Nenda kwenye sehemu ya kutuma sms, bonyeza jina la mtu, kisha uta ona line iliyo chaguliwa kutuma sms hiyo.
Haioneshi nikichagua na jina nikituma sms haioneshi sim card niloyochagua.
 
Habariini.
Natumia Infinix hot 30i.
Ninatumia sim cards mbili halotel na Vodacom.
Shida ipo hivi nimechagua sim 1 ambayo ni halotel kutuma meseji.Sasa nikituma meseji inaenda kwenye upande WA Vodacom ambapo sijaset Vodacom kutuma ujumbe.Shida itakuwa nini niendelee kutuma sms sim card 1 ya halotel?
Msaada.View attachment 3453726

Kutokana na screenshot yako, umeweka SIM 1 (Halotel) kama default kwa SMS, lakini bado meseji zinatoka kupitia SIM 2 (Vodacom). Hili tatizo linaweza kutokana na settings au bug ndogo ya software.

Sababu zinazoweza kusababisha:

1. Message Center Number (SMSC) ya Halotel haipo sahihi: bila hii namba sahihi, SMS zako zitashindwa kutuma kupitia Halotel na simu inajaribu kutumia Vodacom.

2. Bug ya Dual SIM Handling kwenye Infinix: simu zingine hu-confuse default SIM hasa ukiwa na data imekaa kwenye line moja na SMS kwenye nyingine.

3. App ya Messaging imekuwa na cache au imekwama: mara nyingine cache ya messaging app inafanya settings kuto-apply vizuri.

4. Updates za System/Software: kama system haijawa updated, inaweza kuleta changamoto ya kuswitch automatic kwenye SIM nyingine.

Jaribu kufanya yafuatayo:

1. Angalia SMSC Number ya Halotel

Nenda Messages > Settings > SMSC / Message center

Hakikisha imeandikwa namba sahihi ya Halotel (kwa kawaida ni +255620000001).

Ikiwa ni tupu au si sahihi, andika hiyo na uhifadhi.

2. Weka tena Default SMS SIM

Nenda Settings > SIM & network > SMS na uhakikishe Halotel imechaguliwa.

Baada ya hapo, restart simu yako.

3. Clear Cache ya Messaging App

Nenda Settings > Apps > Messages > Storage > Clear Cache.

Rudisha tena chaguo la SIM 1 kwa SMS.

4. Jaribu Kutuma SMS ukiwa na SIM 2 imezima

Zima line ya Vodacom kisha tuma SMS kupitia Halotel.

Kama SMS inatoka vizuri, tatizo lilikuwa kwenye conflict ya line.

5. Update System

Nenda Settings > Software update na hakikisha simu yako ipo kwenye toleo la mwisho.

Kama hatua zote hazijasaidia, basi ni issue ya software kwenye Infinix Hot 30i dual SIM management. Suluhisho la muda ni kuzima line ya Vodacom kabla ya kutuma SMS au kutumia apps kama Textra SMS ambazo zinakupa control ya kuchagua line ya kutuma kila wakati.
 
Habariini.
Natumia Infinix hot 30i.
Ninatumia sim cards mbili halotel na Vodacom.
Shida ipo hivi nimechagua sim 1 ambayo ni halotel kutuma meseji.Sasa nikituma meseji inaenda kwenye upande WA Vodacom ambapo sijaset Vodacom kutuma ujumbe.Shida itakuwa nini niendelee kutuma sms sim card 1 ya halotel?
Msaada.View attachment 3453726
Hot 30 mpaka leo ndo maana inakusumbua🤪🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom