Umezingatia nini mpaka ukapata m8, unajua ramani yake? Eneo? Upatikanaji wa materials? Level ya eneo?Milioni nane inatosha kabisha.Lakini utakuta mtu anakwambia milioni Thelasini (30)
Milioni nane inatosha kabisha.Lakini utakuta mtu anakwambia milioni Thelasini (30)
eneo alipo kwabzaBaadhi ya wachangiaji wameshindwa kumuelewa mleta mada anachokitaka, gharama za ufundi ndio zinazohitajika yani materia anayo, kiwanja anacho, na kila kitu kipo sasa gharama za FUNDI kujenga hiyo nymba ya vyumba vinne ni kiasi gani.
Sina uzoefu na mambo ya ujenzi ila nimejaribu kudadavua ili wajuzi wa haya mambo watoe jibu sahihi kulingana na matakwa ya mleta mada.
Nyie ndio wake wapigaji,mimi milioni nimepiga mahesabu inatosha sio lazima wewe uaminiMilioni 8 ni msingi tu
Milioni 8 ni msingi tu
Milioni nane inatosha kabisha.Lakini utakuta mtu anakwambia milioni Thelasini (30)
Mmeulizwa GHARAMA ZA UFUNDI.Inategemea na eneo unalojenga, umbali wa upatikanaji wa maji, bei ya tofali na gharama za mafundi zinatofautiana pia wapo wenye ghrama sana na wapo wa kawaida pia hujaelelza unataka mfumo gani wa nyumba na unatumia tofali au block
Mafundi wa mjini wezi sana duhMsingi kuchimba na kujenga wakikugonga sana 800,000/= Kuinua Boma 2,000,000/= Renter 1,000,000/= Hivyo Ghalama zita kuwa kati ya 3.5m -5m.
Chini ya 3.5m Kazi itakuwa hovyo zaidi ya 5m umepigwa.