Naomba kujuzwa gharama za kupanda Mlima Kilimanjaro

Gharama kubwa ni
  • Crew.
  • Chakula.
Tafuta guide competent, then akupangie kazi vizuri.

Hakikisha vitu vina make sense na usimamia manunuzi.

Chakula na majibu ni sehemu muhimu sana kilimanjaro.

Angalia hichi chama - Waombe contact ya Guide wao mzuri:

Kpap - search google, pata contact ongea na guide

Just make sure vitu vina make sense and do not go for package.
 
Wapigaji, madalali nk hapa ndipo unawaona sasa, badala ya kutoa jibu ni shs kadhaa utaona maneno yanayovutia mara 123 mara 456.

Professional wa hiyo kazi almost 20yrs unajua garama za kupanda let say 400kl kwa mtu mmoja, funguka hapa, mtu ajue anaweza au aendelee kuwekeza.
 
Mpo wangapi? Park fee ni 11,800 per person per day malazi inategemea kama utaenda camping ama hut.

Kuna guide na wapagazi nao wanalipiwa 3usd per trip

Chakula na mishahara ya watu
Asante.
Ila naomba kujua ukifika tu pale Getini kama kuna kiingilio ni shingapi..na huko juu ni shingapi. Wabeba mizigo ni Sisi wenyewe. Tunahitaji mtu wa kutuongoza tu. Na kufika juu ni max siku ngapi
 
Back
Top Bottom