Naomba msaada kwa hili wanawake wenzangu wanaJamiiForums

Naomba msaada kwa hili wanawake wenzangu wanaJamiiForums

Tena usisubir hadi mguu uje kama unataka kupiga kimini piga tu .... Ukilingojea ---- ndio kabisaaaa utachelewa looo ama tafuta zile skintight zenye sponchi hahahaaaaa mweeee ukipita ---- kule hips zimejaa looo utasababisa jam barabaran kwa kweli kila la kheri
Kama hii
 

Attachments

  • 1416652484137.jpg
    1416652484137.jpg
    68 KB · Views: 138
Mbona Mamiss hawana hivyo unavyovitamani lakini wanapata usumbufu sana?
Jikubali na mshukuru Mungu kwa uumbaji.
Usisahau.umeumbwa kwa mfano wake.
 
Hivi Rubeboy ni msichana au mvulana? Msije mkawa mnampa ushauri yeye anawasanifu!!
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22.

Ni mda mrefu sasa nimekuwa na matamanio ya kuwa na hips na makalio makubwa kiasi flani cha kumvutia mtu yoyote atakae niangalia, matamanio yangu hayajaishia hapo tena huwa natamani sana kuwa na miguu mizuri ya kuvutia hata nikivaa nguo ya kuishia magotini iwe inanipendeza.

Ndiyo yangu tu hayo wanawake wenzang waJF naomba hata ushauri au unijulishe njia za kuweza kupata hayo matamanio yangu ya mda mrefu.

MWANAMKE MVUTO BIBIE FULL KUJIACHIA

Umejaribu kupima Malaria lakini?😤
 
Back
Top Bottom