Naomba msaada kwa hili wanawake wenzangu wanaJamiiForums

Mmh bidada hebu ridhika ulivo sisi wengine hatupendi wanawake wenye makalio,wala uzuri wa miguu. Ikiwa sura nzuri tuu na tabia tusharidhika JIKUBALI
 
baadae ukiwa hivi usije hapa kulialia
Bm38R8qCIAA1o9x.jpg
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22..Ni mda mref sasa nimekuwa na matamanio ya kuwa na hips na makalio makubwa kiasi flan cha kumvutia mtu yoyote atakae niangalia,matamanio yang hayajaishia hapo tena huwa nataman sana kuwa na miguu mizur ya kuvutia hata nikivaa nguo ya kuishia magotin iwe ina inanipendeza..Ndiyo yang tu hayo wanawake wenzang waJF naomba hata ushaur au unijurishe njia za kuweza kupata hayo matamanio yang ya mda mref...MWANAMKE MVUTO BIBIE FULL KUJIACHIA

si wachina wapo easy!!
 
Ulipata kazi bibie?

Sasa unataka uwavutie wanao kuangalia ili iweje baada ya hapo?

Kwani wewe changudoa?

Anyways, Njia rahisi na salama ni wewe kuanza Ku-hang out na wenye makalio madogo zaidi yako.
 
Mimi ni msichana mwenye
umri wa miaka 22..Ni mda mref sasa nimekuwa na matamanio ya kuwa na hips
na makalio makubwa kiasi flan cha kumvutia mtu yoyote atakae
niangalia,matamanio yang hayajaishia hapo tena huwa nataman sana kuwa na
miguu mizur ya kuvutia hata nikivaa nguo ya kuishia magotin iwe ina
inanipendeza..Ndiyo yang tu hayo wanawake wenzang waJF naomba hata
ushaur au unijurishe njia za kuweza kupata hayo matamanio yang ya mda
mref...MWANAMKE MVUTO BIBIE FULL KUJIACHIA

maskini pole. hips za mda utapata ila mguu sahau hata mchina alishindwa. nguo fupi tuachie sie.
 
Jikubali tu mdogo wangu! Hayo unayoyatamani yana madhara kwa baadae. Huenda Ukinenepa hips na kalio vitakuja vyenyewe.Huwezi kupewa vyote! Mungu ana kusudi lake hajakupatia hivyo unavyovitamani.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22..Ni mda mref sasa nimekuwa na matamanio ya kuwa na hips na makalio makubwa kiasi flan cha kumvutia mtu yoyote atakae niangalia,matamanio yang hayajaishia hapo tena huwa nataman sana kuwa na miguu mizur ya kuvutia hata nikivaa nguo ya kuishia magotin iwe ina inanipendeza..Ndiyo yang tu hayo wanawake wenzang waJF naomba hata ushaur au unijurishe njia za kuweza kupata hayo matamanio yang ya mda mref...MWANAMKE MVUTO BIBIE FULL KUJIACHIA

Hiyo hapo........
 
Attachments

  • 1416495100600.jpg
    1416495100600.jpg
    49.7 KB · Views: 178
Ndugu mshukuru Mungu hvyo.ulivyo.......mie pamoja na miguu yangu kama miti ya genge.........flat screen yangu ....bado.namshukuru Mungu.......mana ukienda mahospitalini ndiyo utajua kuwa wew ulivyo wapaswa kusema asante......

embu siku moja chukua wasaa nenda ocean road.....na mhimbili kawaangalie watu kule walivyo......ndiyo utajua hips....---- ....na miguu ni bure kabisa ......ukilinganisha na afya njema ambayo Mungu anakujalia kila siku.....

ni hayo tu na kila la kheri kwenye matamanio yako.....
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22..Ni mda mref sasa nimekuwa na matamanio ya kuwa na hips na makalio makubwa kiasi flan cha kumvutia mtu yoyote atakae niangalia,matamanio yang hayajaishia hapo tena huwa nataman sana kuwa na miguu mizur ya kuvutia hata nikivaa nguo ya kuishia magotin iwe ina inanipendeza..Ndiyo yang tu hayo wanawake wenzang waJF naomba hata ushaur au unijurishe njia za kuweza kupata hayo matamanio yang ya mda mref...MWANAMKE MVUTO BIBIE FULL KUJIACHIA
Acha tamaa ukizaa utatanuka tu kama ukoo wenu wapo wa hips
 
Hahaha safiii dada....MWANAMKE KUJIREMBA NATURAL ACHIA MISITU CJUI NATURAL BEAUT ACHIA ENVIRONMENT HIYOOO HAHAHA....saka unitamanishe nipakue chundee ako ni kuachie ukimwi ukafie mbelee
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22..Ni mda mref sasa nimekuwa na matamanio ya kuwa na hips na makalio makubwa kiasi flan cha kumvutia mtu yoyote atakae niangalia,matamanio yang hayajaishia hapo tena huwa nataman sana kuwa na miguu mizur ya kuvutia hata nikivaa nguo ya kuishia magotin iwe ina inanipendeza..Ndiyo yang tu hayo wanawake wenzang waJF naomba hata ushaur au unijurishe njia za kuweza kupata hayo matamanio yang ya mda mref...MWANAMKE MVUTO BIBIE FULL KUJIACHIA

Kunywa sulphuric acid kutwa mara tatu..usisahau kunywa maji mengi.
 
We hujaona wenzio wataka yote wakakosa yote??? Kutaka sijui mikalio mikubwa hadi madogo wameyakosa...
 
Ridhika, jipende na jikubali aliyekuumba hakukosea.
 
Back
Top Bottom