Naomba msaada kwa anayejua microsoft office access | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada kwa anayejua microsoft office access

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mawaiba, Aug 18, 2012.

 1. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asalaam aleikum wana-Jf..!

  Nimepata taarifa kwamba mwezi umeonekana, na kama hivyo ndivyo basi nawatakieni IDD MUBARAK na week end njema..! Zaidi ya hilo naomba msaada toka kwenu kama kuna yeyote anaejua office access anipe maelekezo kama hili linawezekana:-

  • Ni kwamba nime-create table nikaipa jina PRODUCT-IN. Hii table ina field sita lakini katika hizo field tatu ambazo nataka kuzifanyia kazi zina majina haya;- BAGS, WEIGHT, na Av. WEIGHT. Ninachotaka kujua toka kwenu ni kwamba inawezekana kuweka formula (expression) kwenye office access kama inavyokuwaga kwenye office excel kiasi kwamba nitakapo insert figures kwenye field mbili za kwanza (i.e. BAGS & WEIGHT) then Av. WEIGHT ikasoma automatically kama f(x)=WEIGHT / BAGS [where f(x) ni Av. WEIGHT]? Au kwa namna nyingine Av. WEIGHT= WEIGHT gawa kwa BAGS (kwa kila record)? Kama inawezekana naomba maelekezo jinsi ya kufanya.
  • Naomba pia maelekezo kwa case nyingine ninapokuwa na field mbili A na B kisha nikihitaji kujua value field ya tatu, C, ambapo f(x)=A-B (where f(x) ni C)

  Poleni sana kwa usumbufu lakini nitafurahi sana iwapo nitapata msaada wanu. Nimejaribu sana kufuatilia katika help topics za office access lakini nimeshindwa ku-insert hizo expressions mpaka zikafanya kazi. Thank you all in advance..!
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu sidhani kama inawezekana kuinsert formula, jaribu pivot table itakupa pa kuanzia
   
 3. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Thank you bro. let me try...
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Unakosea kwenye matumizi ya Access, kwenye hiyo table hakuna haja ya kuwa na average, weka weight na bags tu, kisha kwenye Views ambapo ndio utakuwa una query data zako ndo utachukua hizo values na kuzifanya chochote unachotaka, kwenye database kwa kawaida hakuna haja ya kuhifadhi data ambacho inaweza kuwa calculated na data zengine.

  Kama unataka kulazimisha kuweka kwenye table, basi hizo zinaitwa Calculated Fields uki Google haukosi, unaweza kuona mifano kutoka Microsoft Add a calculated field to a table - Access - Office.com
   
 5. Mawaiba

  Mawaiba JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  asante sana mkuu...!
   
Loading...