Nashukur Sana KiongoziKeibu Lushoto kaya osie kwa wau wangu haja heitangwa "Mlalo" (sitaki uniombe tafsiri)[emoji23][emoji23][emoji23]Kama unatokea Kusini, Panda gari za Mtwara-Tanga (kama hutojali) jiandae na kama Tsh.35000 shukia sehemu inaitwa segera (njia panda) hapo utapata gari nyingi za kwenda Lushoto...au unaweza toka huko uliko Hadi Dar then (uende Ubungo coz gari nyingi za Kusini mara nyinyi huishia Temeke au Mbagala) so ukifika Ubungo panda gari za Lushoto moja kwa moja nauli si chini ya 15000(hapo kuna Shambalai, Maning Nice, HG, Burdan na Mabasi mengineyo)...mwisho nikutakie safari njema!!
Nashukur na Sasa ninamatumain kuwa uhakika wa usafir ni mkubwaNafikiri magari yatokayo Lushoto kwenda Dar umeshatajiwa,jipange sasa.
Ahsante sana najisikia furaha kwa uhakika wa usafirBurdan , shambalai ,hg, meaning nice. Ila upande LA sakumi nambili ili ufike mapema uwahi nagari yanayo panda huko shuleni kwako
Haaaaahaaaaa lushoto kuna changamoto nyingi??Shunie njoo huku kuna mgeni, mgeni njoo mwenyej apone, mimi mwishowangu magamba na lushoto mjin. Ila hayo mashambalai na burdani kua makin kwenye kuchagua mana yapo mazur na makuukuu, kuna mengne yanaingza vumbi hata mpk kwenye rami, unafka huko kwemaramba kwenye paji la uso unaweza ukachora "A" ikaonekana bla shda, wana makonda wana sura chafu, ukimpa nauli baadae ukimuulizia chench, Ile unamuita akigeuka ukimwangalia usoni kama upo soft soft we mwenyewe waweza umwambie " samahan konda/baba hv unanidai sh ngap"?
Huko kwenu hamsaidiani??? Acha uenyeji cc ni watanzania kama wewe ni mmalawi Sawa kushindwa kuchangia kafanye kazi uloizoea pia asiyeuliza Hana ajifunzalo halafu ninawasiwasi na hekima zakomsaada mingine aise naona ukakasi, siku ukiambiwa ukasome msumbiji sijue itakuwaje aise. msaidien ndugu yetu mi ananichanganya tu
Post ngapi tunaziona JF mbona hatuulizani kuwa ukipangiwa kwenda kusoma ulaya itakuwa hivi Duuuuh Kama huwezi kujiheshimu sidhani kama utaheshimika Ngoja nitoe andiko languHuko kwenu hamsaidiani??? Acha uenyeji cc ni watanzania kama wewe ni mmalawi Sawa kushindwa kuchangia kafanye kazi uloizoea pia asiyeuliza Hana ajifunzalo halafu ninawasiwasi na hekima zako
Osie Ukundie nikiitange Shemshuza umu??😂😂😂😂Osie kumbe iwe ni mshambaa,mbona ukunda jina ja kizungu Louis II😂😂
Shemshuza 😂jina nijedi sana 😂 imi nikiwea ushe bora kuitangwa Shekidele du kulikoOsie Ukundie nikiitange Shemshuza umu??😂😂😂😂
Hasa Wasambaa😀😀😀Anatakiwa awahi kukata tikiti mapema kama anataka siti za dirishani.Sijawahi ona watu wapenda siti za dirishani kama watu wa Tanga.
😀😀😀Shemshuza 😂jina nijedi sana 😂 imi nikiwea ushe bora kuitangwa Shekidele du kuliko
uzungu uzungu 😂
Anatakiwa awahi kukata tikiti mapema kama anataka siti za dirishani.Sijawahi ona watu wapenda siti za dirishani kama watu wa Tanga.
Hahahaaahahahah Haya mosie Shekidee ila mimi mama ni Myuropu halafu tate nee mshambaa ushe...ijo zina ni Ja babu upande wa mamaShemshuza 😂jina nijedi sana 😂 imi nikiwea ushe bora kuitangwa Shekidele du kuliko
uzungu uzungu 😂
Oosiiiieeee😂 tite Yuropu kwa babu tikapige ndima huku kaya mbui zachosha usheHahahaaahahahah Haya mosie Shekidee ila mimi mama ni Myuropu halafu tate nee mshambaa ushe...ijo zina ni Ja babu upande wa mama
😂😂😂😂nzakuikaa kuitangwa(Nurenberg) osie ni Kawaida du kwehena tikomae aha bongo du!!Oosiiiieeee😂 tite Yuropu kwa babu tikapige ndima huku kaya mbui zachosha ushe
NahateiaKeibu Lushoto kaya osie kwa wau wangu haja heitangwa "Mlalo" (sitaki uniombe tafsiri)[emoji23][emoji23][emoji23]Kama unatokea Kusini, Panda gari za Mtwara-Tanga (kama hutojali) jiandae na kama Tsh.35000 shukia sehemu inaitwa segera (njia panda) hapo utapata gari nyingi za kwenda Lushoto...au unaweza toka huko uliko Hadi Dar then (uende Ubungo coz gari nyingi za Kusini mara nyinyi huishia Temeke au Mbagala) so ukifika Ubungo panda gari za Lushoto moja kwa moja nauli si chini ya 15000(hapo kuna Shambalai, Maning Nice, HG, Burdan na Mabasi mengineyo)...mwisho nikutakie safari njema!!
Ila usisahau kuwa kuna baridi hivyo jipange kuwa na vifaa vya kujikinga na baridi...Karibu Lushot, karibu Tanga.Nashukur na Sasa ninamatumain kuwa uhakika wa usafir ni mkubwa