Naomba msaada kuhusu mwendokasi haya magari

Naomba msaada kuhusu mwendokasi haya magari

Landlord444

New Member
Joined
Aug 11, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Je inawezekana TOYOTA HARRIER 2AZ-FE CC 2362 Manufacture year 2003 ikaipita gari ya PREMIO CC 1490 YEAR OF MANUFACTURE 2006 ambayo imetangulia safari kwa muda wa dakika 20 ikitokea DODOMA kwenda ARUSHA ikiwa madereva wote ni Wazuri
 
Magari yote yanakimbia dereva ndio shida
Overtaking na wapi pa kuchanganya wapi pa kwenda spidi kali kama una uwezo wa kubalance hivyo mtashindana ti
 
Back
Top Bottom