usifanye tena huo ujinga wa kukopa benki Kama mtumishi. chukua mkopo wa Biashara ambao unarudisha ndani ya mwaka 1 na riba yake ni ndogo.
jiunge na sacoss ama vikoba wanariba ndogo sana vinginevo utaendelea kuwa maskini.
nakupa mfano mdogo ukikopa saccoss 2.5m kwa mwaka unarudisha milion 3 kasoro pia top up ni njia ya kujimaliza kiuchumi....kama umekopa kwa ajili ya Biashara na pesa zimekwisha hamna mafanikio jipe muda pumzika usishindane na Mambo yaache yaende ikitokea uka top up kisha Biashara ikaenda mrama utaaibika, utateseka kwa kipindi chote mpaka mkopo uishe na utendaji kazi wako utapungua Kama ni sekta binafsi na kazi utafukuzwa,.......familia itayumba pia mke ama mchumba anaweza kukuacha kwa kushindwa kuhudumia na kutimiza wajibu wako.
SELL OR GET SOLD
Sent using
Jamii Forums mobile app