Naomba msaada kuhusu loan top up

Ginhgi

Member
Dec 23, 2018
6
45
habarini wakuu , mm ni mtumishi na nifanikiwa kukopa benki sasa nalikuwa nahhtaji kuongezea mkopo ,, mwenye uelewa kuhusu loan top up anijuze

natanguliza shukurani
 
Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,453
2,000
usifanye tena huo ujinga wa kukopa benki Kama mtumishi. chukua mkopo wa Biashara ambao unarudisha ndani ya mwaka 1 na riba yake ni ndogo.

jiunge na sacoss ama vikoba wanariba ndogo sana vinginevo utaendelea kuwa maskini.

nakupa mfano mdogo ukikopa saccoss 2.5m kwa mwaka unarudisha milion 3 kasoro pia top up ni njia ya kujimaliza kiuchumi....kama umekopa kwa ajili ya Biashara na pesa zimekwisha hamna mafanikio jipe muda pumzika usishindane na Mambo yaache yaende ikitokea uka top up kisha Biashara ikaenda mrama utaaibika, utateseka kwa kipindi chote mpaka mkopo uishe na utendaji kazi wako utapungua Kama ni sekta binafsi na kazi utafukuzwa,.......familia itayumba pia mke ama mchumba anaweza kukuacha kwa kushindwa kuhudumia na kutimiza wajibu wako.
SELL OR GET SOLD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Konki kichaa

Member
May 18, 2018
88
125
Daaah hii mikopo ya kibenk shida sana nakushauri siku nyingine ingia hata kwenye vicoba yan riba yake ni ndogo na riba ni faida yako mwenyewe ukichukua 1m unaludisha 1.5m hiyo 0.5k ni faida yako mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SUKAH

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
714
500
Hesabu zangu zinaniambia hiyo ni 50%/year, ilihali bank ni17%/year. mkopo ni mkopo tu kikubwa unaufanyia kazi gani.
Benk gani hiyo riba 17% per year. Watu wakimbilie chap chap...

SUKAH...
 
kipyola

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
274
250
Usijaribu Ku top up vumilia mkopo uishe..maana unapoenda Ku top up wanakukopesha kiwango flan hapo hapo wanakata kiwango cha awali kinachobaki ndio utapewa.
 
pleo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,830
2,000
usifanye tena huo ujinga wa kukopa benki Kama mtumishi. chukua mkopo wa Biashara ambao unarudisha ndani ya mwaka 1 na riba yake ni ndogo.

jiunge na sacoss ama vikoba wanariba ndogo sana vinginevo utaendelea kuwa maskini.

nakupa mfano mdogo ukikopa saccoss 2.5m kwa mwaka unarudisha milion 3 kasoro pia top up ni njia ya kujimaliza kiuchumi....kama umekopa kwa ajili ya Biashara na pesa zimekwisha hamna mafanikio jipe muda pumzika usishindane na Mambo yaache yaende ikitokea uka top up kisha Biashara ikaenda mrama utaaibika, utateseka kwa kipindi chote mpaka mkopo uishe na utendaji kazi wako utapungua Kama ni sekta binafsi na kazi utafukuzwa,.......familia itayumba pia mke ama mchumba anaweza kukuacha kwa kushindwa kuhudumia na kutimiza wajibu wako.
SELL OR GET SOLD

Sent using Jamii Forums mobile app
Nusu yamkopo ni akiba zako, jiongeze!
Saccos karibu zote riba zao hazipungui 26%
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom