Hesabu zangu zinaniambia hiyo ni 50%/year, ilihali bank ni17%/year. mkopo ni mkopo tu kikubwa unaufanyia kazi gani.Daaah hii mikopo ya kibenk shida sana nakushauri siku nyingine ingia hata kwenye vicoba yan riba yake ni ndogo na riba ni faida yako mwenyewe ukichukua 1m unaludisha 1.5m hiyo 0.5k ni faida yako mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Benk gani hiyo riba 17% per year. Watu wakimbilie chap chap...Hesabu zangu zinaniambia hiyo ni 50%/year, ilihali bank ni17%/year. mkopo ni mkopo tu kikubwa unaufanyia kazi gani.
Mku umeshapata huo Mkopo.habarini wakuu , mm ni mtumishi na nifanikiwa kukopa benki sasa nalikuwa nahhtaji kuongezea mkopo ,, mwenye uelewa kuhusu loan top up anijuze
natanguliza shukurani
Nusu yamkopo ni akiba zako, jiongeze!usifanye tena huo ujinga wa kukopa benki Kama mtumishi. chukua mkopo wa Biashara ambao unarudisha ndani ya mwaka 1 na riba yake ni ndogo.
jiunge na sacoss ama vikoba wanariba ndogo sana vinginevo utaendelea kuwa maskini.
nakupa mfano mdogo ukikopa saccoss 2.5m kwa mwaka unarudisha milion 3 kasoro pia top up ni njia ya kujimaliza kiuchumi....kama umekopa kwa ajili ya Biashara na pesa zimekwisha hamna mafanikio jipe muda pumzika usishindane na Mambo yaache yaende ikitokea uka top up kisha Biashara ikaenda mrama utaaibika, utateseka kwa kipindi chote mpaka mkopo uishe na utendaji kazi wako utapungua Kama ni sekta binafsi na kazi utafukuzwa,.......familia itayumba pia mke ama mchumba anaweza kukuacha kwa kushindwa kuhudumia na kutimiza wajibu wako.
SELL OR GET SOLD
Sent using Jamii Forums mobile app