Naomba msaada kuhusu hii software

Tanki

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
447
225
Wakuu habari, Natumia pc ya miaka ya nyuma hivi, ni Lenovo T420 Core i5, Ram 4GB HDD 320 Graphic card 3000

Nimedownload software ya Blender ila inakataa ku-run inaniambia graphic card haikudhi. Nilichoamua kufanya ni kutafuta blender ya miaka ya nyuma nyuma. Nikaipata Blender Version ya 2.60 ila version ya sasa hivi ni 2.80 ambayo hii ndo inakataa ku-run.

Sasa kwenye hii ya 2.60 ambayo ndo inakubali ku run yenyewe ina MB 89. Swali langu je kuna namna yoyote ya kufanya ili hii version ya sasa ya 2.80 ikarun???. Pia je kwa hii ya 2.60 ni wapi nitapata addons zake?????

Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,117
2,000
Graphic card 3000
hapa pameharibu mkuu, uta run blender za kale tu, kwani core i5 yako ni ya kizamani.
blender 2.8 inasupport computer mpya zenye intel graphics subsystem zinazokubali opengl 3.3 nakuendelea na sio chini ya hapo.

kama lugha ni ngumu namaanisha hivi una computer yenye system ya kizamani yaani core i5 yako ni second generation tafuta atleast third generation.
 
Patiee

Patiee

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
326
500

Umejuaje kaka kama processor yake ni 2nd generation
 
Stephen Chelu

Stephen Chelu

Verified Member
Oct 31, 2017
4,228
2,000
hapa pameharibu mkuu, uta run blender za kale tu, kwani core i5 yako ni ya kizamani.
blender 2.8 inasupport computer mpya zenye intel graphics subsystem zinazokubali opengl 3.3 nakuendelea na sio chini ya hapo.

kama lugha ni ngumu namaanisha hivi una computer yenye system ya kizamani yaani core i5 yako ni second generation tafuta atleast third generation.
Mimi nina v2.79 sijataka kwenda 2.8 kwa sababu nina hofu kuwa i5 yangu inaweza isimudu. Ni vipi naweza kujua kuwa processor hii ni 2nd gen au 3rd gen?
 
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,117
2,000
Nataka kufahamu mkubwa.
Mimi nina v2.79 sijataka kwenda 2.8 kwa sababu nina hofu kuwa i5 yangu inaweza isimudu. Ni vipi naweza kujua kuwa processor hii ni 2nd gen au 3rd gen?
Ili kufahamu kuwa hii pc au desktop ina procesor ya generation gani kwa njia rahisi washa hiyo computer kisha nenda bonyeza key-pad window + pause kisha system properties itataokea , au kama pc iko online specification za processor zitakuwepo, nakama hazikuandikwa angalia model number ya computer kisha nenda kai search google utaikuta kwenye web ya manufacturer wake kisha angalia kwenye specification zilizowekwa utakutana na neno processor .

Angalia yafuatayo:

Intel® Core™ Processor i7-10710U hapa processor ni 10th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.

Intel® Core™ Processor i9-9900 hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i9.

Intel® Core™ Processor i7-9850H hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.

Intel® Core™ Processor i5-8600 hapa processor ni 8th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Intel® Core™ Processor i3-7350K hapa processor ni 7th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i3.

Intel Core™ Processor i5-6400T hapa processor ni 6th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Intel Core™ Processor i5-2140 hapa processor ni 2th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Sasa asije kukudanganya mtu hii processor ni core i5 kwa hiyo iko quality hatuaangalii core tu bali tunaangalia na generation ya ngapi.

mfano unweza kuta core i5 inazidiwa perfomance na i3 au i7 inazidiwa na i5 issue sio core tu bali ni generation pia.

kuna kitu kingine ni hiki

Hizi graphics card zenye series hii, intel hd 2000, intel hd 3000 ni za kizamani hazipokei driver mpya kama ilivyo kwa graphics card yenye intel hd 4000.
Lakini pia huwezi kuzikuta ndani ya processor 3rd gen na kuendelea utazikuta kwenye gen ya pili.
 
instagram

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
800
1,000

Intel Core Processor i7-10710U hapa processor ni 10th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.

Intel Core Processor i9-9900 hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i9.

Intel Core Processor i7-9850H hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.

Intel Core Processor i5-8600 hapa processor ni 8th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Intel Core Processor i3-7350K hapa processor ni 7th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i3.

Intel Core Processor i5-6400T hapa processor ni 6th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Intel Core Processor i5-2140 hapa processor ni 2th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Sasa asije kukudanganya mtu hii processor ni core i5 kwa hiyo iko quality hatuaangalii core tu bali tunaangalia na generation ya ngapi.

mfano unweza kuta core i5 inazidiwa perfomance na i3 au i7 inazidiwa na i5 issue sio core tu bali ni generation pia.

kuna kitu kingine ni hiki

Hizi graphics card zenye series hii, intel hd 2000, intel hd 3000 ni za kizamani hazipokei driver mpya kama ilivyo kwa graphics card yenye intel hd 4000.
Lakini pia huwezi kuzikuta ndani ya processor 3rd gen na kuendelea utazikuta kwenye gen ya pili.
Iyo processor ya 10th generation umeitoa mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stephen Chelu

Stephen Chelu

Verified Member
Oct 31, 2017
4,228
2,000
Ili kufahamu kuwa hii pc au desktop ina procesor ya generation gani kwa njia rahisi washa hiyo computer kisha nenda bonyeza key-pad window + pause kisha system properties itataokea , au kama pc iko online specification za processor zitakuwepo, nakama hazikuandikwa angalia model number ya computer kisha nenda kai search google utaikuta kwenye web ya manufacturer wake kisha angalia kwenye specification zilizowekwa utakutana na neno processor .

Angalia yafuatayo:

Intel® Core™ Processor i7-10710U hapa processor ni 10th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.

Intel® Core™ Processor i9-9900 hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i9.

Intel® Core™ Processor i7-9850H hapa processor ni 9th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i7.

Intel® Core™ Processor i5-8600 hapa processor ni 8th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Intel® Core™ Processor i3-7350K hapa processor ni 7th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i3.

Intel Core™ Processor i5-6400T hapa processor ni 6th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Intel Core™ Processor i5-2140 hapa processor ni 2th generation tunaangalia number inayofuata baada ya series yaani i5.

Sasa asije kukudanganya mtu hii processor ni core i5 kwa hiyo iko quality hatuaangalii core tu bali tunaangalia na generation ya ngapi.

mfano unweza kuta core i5 inazidiwa perfomance na i3 au i7 inazidiwa na i5 issue sio core tu bali ni generation pia.

kuna kitu kingine ni hiki

Hizi graphics card zenye series hii, intel hd 2000, intel hd 3000 ni za kizamani hazipokei driver mpya kama ilivyo kwa graphics card yenye intel hd 4000.
Lakini pia huwezi kuzikuta ndani ya processor 3rd gen na kuendelea utazikuta kwenye gen ya pili.
Shukran mkuu.
Yangu ni i5-3340M
Na graphics card ni hd 4000
Kumbe naweza kuijaribu v2.8
 
Je kuna namna yoyote hizi speciations zinaweza kuwa compromised.Kama inawezekana nitajua vipi kuwa speciations zilizoandikwa kwenye hii mashine ni zake kweli.
 
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,117
2,000
Je kuna namna yoyote hizi speciations zinaweza kuwa compromised.Kama inawezekana nitajua vipi kuwa speciations zilizoandikwa kwenye hii mashine ni zake kweli.
Ilo neno compromised unamaanisha nini?

computer hardware zinasomwa kama zilivyo yaani ukibadili hardiware na yenyewe inasoma ile ulioweka, na ikishindwa kuielewa kuna error zitatokea.
Sijawahi kusikia aliyeweza badili hardware ya computer alafu computer ikaendelea kusoma specification za zamani lazima itasoma specification mpya kulingana na hardware zilizowekwa.
Kwa hiyo ni wajibu wako kuwasha computer na ku check specification au kurejea kwenye website za manufacturer husika.

Atakama utanunua kutoka nje ya nchi kupitia online shops za uhakika, na ukagundua haiko kama ulivyoona online basi unaweza irudisha kulingana na mifumo ya biashara ya iliyopo na pesa yako inarudi.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,126
2,000
Wakuu habari, Natumia pc ya miaka ya nyuma hivi, ni Lenovo T420 Core i5, Ram 4GB HDD 320 Graphic card 3000

Nimedownload software ya Blender ila inakataa ku-run inaniambia graphic card haikudhi. Nilichoamua kufanya ni kutafuta blender ya miaka ya nyuma nyuma. Nikaipata Blender Version ya 2.60 ila version ya sasa hivi ni 2.80 ambayo hii ndo inakataa ku-run.

Sasa kwenye hii ya 2.60 ambayo ndo inakubali ku run yenyewe ina MB 89. Swali langu je kuna namna yoyote ya kufanya ili hii version ya sasa ya 2.80 ikarun???. Pia je kwa hii ya 2.60 ni wapi nitapata addons zake?????

Naomba kuwasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu umeambiwa Gpu yako haifai usilazimishe, unaweza ukabypass ila ushauri usifanye hivyo maana utabadili jina kutoka Hd 3000 kwenda gpu nzuri lakini still uwezo utakuwa ni ule ule. Tumia tu hio version ya zamani.

Kwa software za open source plugin zipo kibao kwenye open directories. Changua changua humu

Version zote za blender
Index of /release/

Make human plugin

Index of /makehuman/plugins/

Tumia filechef.com kutafuta plugin husika
 
shukrani sana chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom