Hii laptop inaweza kufanya 3D animation?

Hii laptop inaweza kufanya 3D animation?

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Wakuu, natumia Lenovo T420 Core i5, HDD 320, Ram 4 GB. Graphic card 3000.

Je, naweza kufanya 3D animation? Kama naweza je ni app/ software gani itaweza run kwenye hii pc? Na kama siwezi je kwanini na unashauri nini nifanye ili niiwezeshe iweze kufanya 3D animation??

Na je vipi kuhusu 2D animation?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu miaka ya 2000 mpaka 2010 hio laptop yako ingekuwa kali kushinda laptop yoyote na ingeuzwa mamilioni ya hela. Ingerun bila shida app zote za 3d.

Japo kwa sasa imepitwa na wakati ila haimaanishi haiwezi kufanya kazi,

Mfano kama unarun Adobe After effects cc ya kisasa na inakuwa slow download version ya zamani Cs3,Cs4, Cs5 etc utaona inapiga kazi bila wasi wasi.

Ongeza tu hio ram mpaka 8gb, around 30k mpaka 40k itaku cost.
 
Kwa 3d Animation,

Inaweza ku run Cinema 4d, Blender na ZBrush bila tatizo. Sema kwenye rendering itakuwa slow kidogo,
shukrani mkuu. Ungenipa na link za kudownload hizi vitu hàpa ungekuwa umenisaidia Zaidi

Blender
Cinema 4D

Adobe illustrator ( Cracked )
FL Studio 12 ( Cracked )
Adobe Audition

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu miaka ya 2000 mpaka 2010 hio laptop yako ingekuwa kali kushinda laptop yoyote na ingeuzwa mamilioni ya hela. Ingerun bila shida app zote za 3d.

Japo kwa sasa imepitwa na wakati ila haimaanishi haiwezi kufanya kazi,

Mfano kama unarun Adobe After effects cc ya kisasa na inakuwa slow download version ya zamani Cs3,Cs4, Cs5 etc utaona inapiga kazi bila wasi wasi.

Ongeza tu hio ram mpaka 8gb, around 30k mpaka 40k itaku cost.
Shukkrani mkuu, ila naomba kuchomekea kitu. Bluetooth haiwaki. Na sioni pa kuwashia. Je hii nayo inahitaji update??? maana kwenye graphic card ulinipa link nikadownload nikaupdate kitu kikakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukkrani mkuu, ila naomba kuchomekea kitu. Bluetooth haiwaki. Na sioni pa kuwashia. Je hii nayo inahitaji update??? maana kwenye graphic card ulinipa link nikadownload nikaupdate kitu kikakubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si kila computer ina bluetooth, ukiweka full model ya computer naweza kukuangalizia kama ina bluetooth.

Na hataka kama haina bluetooth, unaweza kununua adapter hata ya 5000 tu ukachomeka ikawa na uwezo huo.
 
Nina pc inayokariana na hiyo na nafanya 3D modeling and animation. Ila unatakiwa uwe mjanja mjanja sana hasa kwenye texturing na render settings la sivyo utasoja mno. Binafsi naweza kurender frame moja kwa dakika 1. Au chini ya hapo. Kwa hiyo kwa animation ya dakika 3 unatumea masaa 72 ku render.
 
Duh mkuu Stephen Chelu, kajaribu kutumia render farm subscription....kama unatumia Cinema 4D Maxon, Autodesk Maya, Max. Same quality ila inatumia muda mfupi kumaliza ka dakika 20 hivi.
Shukran mkuu, nitajaribu kuicheki, nimeshawahi kusikia ila sikuifuatilia kwa sababu baso sijaanza kufanya animations seriously, nafanya for fun kwa sasa but nina malengo nayo ya mda mrefu. Binafsi, natumia blender. Hiyo subscription paid ama ni free?
 
Hiyo graphics card mara nyingi dedicated memory yake huwa 128mb hivyo si rafiki kwa mambo ya rendering.
Kuna laptop pc zimekuja zina 6Gb dedicated memory for serious users wa rendering na animation
 
Back
Top Bottom