Naomba msaada Kuhusu blackberry

Naomba msaada Kuhusu blackberry

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
151
Wakuu poleni na uchovu naomba msaada nina blackberry yangu ni aina ya curve inanisumbua sana napoingia watsap na haswa pale napotaka kutuma sms..meseji inakuwa inakataa kwenda kabisa haioneshi alama yeyote hata ya tick..jamani nifanyeje natanguliza shukrani mwenye kujua anipe msaada..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom