Msaada Kuhusu tiba ya Allergy

Msaada Kuhusu tiba ya Allergy

Lugumya

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
183
Reaction score
1,118
Salaam JF Doctors

Wakuu hapa nilipo sijalala nafikicha tu pua. Nina allergy kali ya baridi, manukato na Vumbi. Kibaya zaidi tatizo limewakumba hadi watoto.

Kila wakati ni Chafya na kufikicha tu pua. Nateseka sana ndugu zangu. Nimehudhuria TMJ, Kairuki, Masana na Bochi lakn kote sikufanikiwa kupata ufumbuzi. Kadhalika nilipata kwenda Benjamin- Udom lkn kote ni yale Yale.

Naomba msaada ndugu zangu nifanyej walau nipate nafuhu. Pia kuhusu hawa watoto naona kama wanateseka sana pia.

Hata kama ni kienyeji ndugu zangu, muhimu tupone.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Mi pia nasumbuliwa na allerg kama ulizozitaja. Mostly natumia vidonge vya allergy jina lake cetrizine au natumia dawa ya spray inaitwa Avamis.

Pia mimi napata allergy sababu nina nyama za pua kitaalamu (nasal polyps)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom