Naomba msaada kuhusiana na VHS TAPES PICTURE na STILL PICTURE NEGATIVES.

AbouZakariya

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
1,615
2,338
Habari Wana jukwaa, ni Imani yangu kwa mapenzi yake muumba sote Yuko salama.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, naomba msaada kwa anayejua namna ya kuitoa video iliyo rekodiwa na kuhifadhiwa katika VHS tapes, na kuihifadhi katika mfumo wa Sasa wa flash au DVDs.
Kama Kuna anayeweza kunifanyia Hilo zoezi au anayejua linapoweza fanyika tafadhali anijuze.
Pia ninazo negative za picha ambazo zilipigwa miaka ya 2000 mwanzoni, je Kuna mahala ambalo bado wanasafisha picha kwa technologies Ile ya kizamani?, tafadhali Hilo pia Kama Kuna ajuae naomba anijuze.
Karibuni Wana jukwaa.
 
Miaka ya 2014/2015 kuliku na jamaa nadhani maeneo ya posta akikua kama ana video libarary alikua anaweza kufanya VHS kwenda kwenye CD/flash ofisi ilkuaga pale walipo khimji wauza vitambaa sijajua kwa sasa
 
-1421989632-851890952.jpg
13936271001064577770.jpg
123097461421451397.jpg


1214001818-289461026.jpg
 
Ukipata hicho kifaa hapo juu unaweza kukamilisha hilo zoezi lako.

Jaribu maduka ya pc accessories zitakua zinauzwa kati ya 30000 mpaka 50000.
 
Back
Top Bottom