Naomba msaada kufungua akaunti zangu

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Oct 8, 2018
366
140
Wana jf habari zenu, naomba msaada wa akaunti zangu za biashara facebook na instagram zimefungwa . Akaunti ya facebook ads ina andika disbled na akaunti ya instagram ina andika no premission.naomba msaada kazi zangu zimekwama namba zangu 0677423349 naitaji kusaidiwa msaada nisaidieni
 
Inaelekea kuna Miiko umeikiuka.

Cha kufanya waombe Facebook wakufungulie, ukikaa muda mrefu bila ya kuwatafuta watakuja kuiondoa kabisa Akaunti yenyewe.

Kwani ni muda gani tokea kuzuiliwa kwa Akaunti yako?
 
Tarehe 9 /11/2020
 
Naomba nielekeze nitakavyo wasiliana nao kunamtu kasema kufungua hadi nimpe elfu 50 sasa iyo hela sina biashara zimekwama.
 
Back
Top Bottom