Naomba msaada, king'amuzi gani ambacho sio cha kulipia kwa mwezi

Gazzer

Member
Sep 12, 2012
54
12
Nnaomba msaada ,ni king'amuzi gani ambacho sio cha kulipia kwa mwezi ambacho ninaweza kupata mpira league ya uingereza....Na bei yake ni shilling ngapi?
 
Kuna jamaa wa Kenya umu anauza channel za kudukua emu mcheki uzi wake,... Free to air channels
 
Digitek ila hpati ligi za ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Guys mbona me changu silipii??? hata siku moja hakijawahi kukata na channelss napata kama kawaida...sasa sielewi nini shida.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Guys mbona me changu silipii??? hata siku moja hakijawahi kukata na channelss napata kama kawaida...sasa sielewi nini shida.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mimi mwenyewe Azam sijui wamenisahau nakula channels zote bureee toka mwezi wa nne
 
Back
Top Bottom