Mi nilidhani either ni useful kuelezea whether tatizo limewahi kutokea au la ,ndo mana nika toa mda husika(although si that significant) lakini ni katika kuonyesha kwamba tatizo limetokea leo na kwamba ni kwa mara ya kwanza nime li experienceSamahani unaweza kuniambia kwanini umeweka hadi muda (saa) tatizo kuanza unafikili inaweza saidia kitu
Tuanze hapo ili nikusaidie ila hutavyokuja vyovyote ntakupokea
You"re are welcome
Ingia kwa safe mode, then angalia kama kuna namna unaweza kutoa, system restore ama angalia mambo ya virusi etc.na penyewe hapafunguki