Naomba msaada katika tatizo hili la Kompyuta yangu

Dim Ray

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
318
250
Jamani naombeni msaada,

Laptop ninayotumia nikiiwasha sehemu ya kuweka password haiwezi ku 'input' character zozote, kwahiyo siwezi kuingia na kuitumia.

Tatizo hili limeanza leo muda wa saa 12 jioni.

Naombeni msaada jinsi ya kulitatua.
 

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,276
2,000
Samahani unaweza kuniambia kwanini umeweka hadi muda (saa) tatizo kuanza unafikili inaweza saidia kitu

Tuanze hapo ili nikusaidie ila hutavyokuja vyovyote ntakupokea

You"re are welcome
 

Dim Ray

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
318
250
Samahani unaweza kuniambia kwanini umeweka hadi muda (saa) tatizo kuanza unafikili inaweza saidia kitu

Tuanze hapo ili nikusaidie ila hutavyokuja vyovyote ntakupokea

You"re are welcome
Mi nilidhani either ni useful kuelezea whether tatizo limewahi kutokea au la ,ndo mana nika toa mda husika(although si that significant) lakini ni katika kuonyesha kwamba tatizo limetokea leo na kwamba ni kwa mara ya kwanza nime li experience
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,738
2,000
Tumia on screen keyboard kama mouse/touchpad inafanya kazi. Ipo pembeni hapo icon imekaa yenyewe kama saa ya round hivi

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom