Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,524
- 2,798
Wakuu nina tatizo ku initialize hilo game linaishia ku display logo then haliendelei. game nimeli download jana na kila nikifungua halifunguki ila zinatokea crush dumb error messages nimejaribu kuangalia solution kwenye mitandao na uzi apply ila imeshindikana tatizo bado lipo. Pc ninayotumia ni Hp 650 notebook , RAM 4Gb na CPU ni 2.2 GHZ corei3 naomba msaada wakuu.